ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,033
- 3,916
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:
Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?
Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI

- Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
- Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
- Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
- Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
- Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara