Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Mmh hiyo level ya Pengo ni ingine kabisa aiseehh!
Kwani level ya Pengo ipoje na wengine..?? Au kwa kuwa mkuu wa kaya ni mkatoliki..??

Hufikirii kwmb hyo mentality ya kuona kwamba huyu level yake ni kubwa na ya juu, ndo rahisi kwake kufanya biashara haramu..??

Lazima tuamini kwamba Pengo nae ni binadamu kma sisi sote humu, na wala sio Mungu kwamba yupo extraordinary perfect. Akili yake inaweza kukengeuka wakati wowote pia.
 
Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...

Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....

na sio mara moja........

Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili

ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...


Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
 
Back
Top Bottom