babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,398
- 3,244
Mkuu ww mwenyewe ni bilionea au unatania ili nikupelelezeHa ha ha ha
Mwaka huu kazi ipo aiseeeee
Kha...
Mkuu ww mwenyewe ni bilionea au unatania ili nikupelelezeHa ha ha ha
Mwaka huu kazi ipo aiseeeee
Kha...
Wenye akili wapo wengi sana ila tatizo wamepungukiwa maarifa, wanategemea hirizi zao viunoni lazima wachanganyikiwe
Tena wamfilisi kabisa, wasimwache hata kidogo. Huyu askofu gani anaongea uongo namna hii. Eti ana hela kuliko serikali, kazitoa wapi?Safi sana TRA. Hii Ni hatua nzuri
Atubu kwa lipi hasa?Watangulizi wake mliwahi kuwaambia watubu pia?Au wao waliongoza kama malaika hivyo kwao kutubu si sahihi?Hongera JPM kwa kasi yako watakuelewa tu.Kweli awamu hii ni ajabu sana aise yani kila sekta zinaendeshwa kwa mkomoeni na vitisho fulani kisa kutaka mtu fulani atubu leo hii mtu anachunguzwa na t.r.a maajabu haya yanapatikana Tz tu.
Watubu kwanza. Maneno ya nini?
Watubu kwanza afu tukutane misibani hirizi kiunoni inahuuuuu
Atubu
Nashukuru TRA....Ukweli utatuweka huru...aliyetaka chai asilalamike anaungua kwa kuwa chai huunguza!
Well said mkuu.Kakobe amelewa madaraka ya kiuaskofu, making him literarly a person of unsound mind....
Kisheria mtu aliyelewa kwa namna yeyote hawezi kushtakiwa na kauli zake hazichukuliwi kwa uzito.. .. Kisheria wanasema a person of unsound mind can not produce statements which can legaly binding. So the best response ni kumpuuza Kakobe na kumwacha apambane na his brain washed followers...
Zaidi zaidi serikali kupitia wizara ya afya imsaidie Kakobe apatiwe uchunguzi (tiba)wa neurological disorders maana inawezekana anakabiliwa na ugonjwa wa psychosis au hallucination...
Hivi mkuu Hujapewaa dawa tu za magonjwa mtambuka?Tena wamfilisi kabisa, wasimwache hata kidogo. Huyu askofu gani anaongea uongo namna hii. Eti ana hela kuliko serikali, kazitoa wapi?
Haijalishi.Kazi wanayo!
Siku ile Kakobe amehubiri kwa karibu masaa 2, kipengele cha kuzungumzia watawala kutubu hakikuzidi dakika kumi.
Kama angeitisha press conference sijui ingekuaje maana hayo maneno machache tu jamaa wanahangaika kama wanatafuta sindano gizani.
Anyway hiyo clip ya kusema ana pesa kuliko serikali sio ya leo kama sikosei ni mwaka 2014
Bora kesho kutwa ni 2018.Ha ha ha ha
Mwaka huu kazi ipo aiseeeee
Kha...
Sasa kuna ajabu gani mtu kuchunguzwa ikiwa utajiri wake ni mkubwa kuizidi serikali na hakuna rekodi ya kodi ya mapato anayolipa.Haya ni maajabu....