issue:.
Acha ushabiki wa kimapokeo. Hebu lete hilo andiko ku saport hayo unayosema
Yesu alimuachia Peter kanisa lini na wapi? Unajuwa ni lini watu walianza kuitwa wakristo?Imani ya ki-Katoliki tunaamini Yesu alimwachia Peter uongozi wa kanisa na baada ya Peter kuna kiongozi anaechaguliwa ambae tunamwita baba Mtakatifu.
Laana huwa zinaongoza watu vibaya. Huwa mnapenda wasio kama nyie wadhalilike sana.sijui inawafanya vipi nyie muwa wasafi?Hahahaaa kumbe yumo kwa list?
Sasa Makonda mbona hajamuita?
Laana huwa zinaongoza watu vibaya. Huwa mnapenda wasio kama nyie wadhalilike sana.sijui inawafanya vipi nyie muwa wasafi?
Usijafishe kwa kuwahutubia vijana, wala kwa kutumia usumba, nenda mwenyewe kajisafishe, wewe na kanisa lako mbele ya Kamanda Sirro.Pengo anasema kaiona list ya wauza unga nae yumo, but anadai kabambikiwa ili kumtuliza. hebu mtujuze great thinkers
=======
UPDATE
=======
petro na papa? acha kudharau mitume wa Yesu!!Imani ya ki-Katoliki tunaamini Yesu alimwachia Peter uongozi wa kanisa na baada ya Peter kuna kiongozi anaechaguliwa ambae tunamwita baba Mtakatifu.
Peter ndiye Pope wa kwanza mkuu.petro na papa? acha kudharau mitume wa Yesu!!
hahahaaaaaa seriously???? so your telling me hawa mapope wenu wanafuata mienendo ya peter??........Peter ndiye Pope wa kwanza mkuu.
Pengo anasema kaiona list ya wauza unga nae yumo, but anadai kabambikiwa ili kumtuliza. hebu mtujuze great thinkers
=======
UPDATE
=======