Recent content by Nyamulekwetu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu wanapotoa kozi za computer

    Uko mkoa gan? Nenda ucc au DIT wako vizur sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye no.ya Mh. George Simbachawene naomba anipe

    078478901
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Hiyo haiwezekan taratibu za utumishi wa umma hazisemi hivo hta muundo wa utumishi haupo hivo,haiwezekan mim nipo TGTS I(2800000/=) kwa mwezi unipunguzie mpka TGTS D(730000/=) kwa mwezi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watumishi hewa kwa kila mkoa Tanzania

    Kanda ya ziwa wapo 7000
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Tayari mpunga umejaa kwenye akaunti
  6. N

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Mwambie apande mashiku bus service au super najimunisa au Zuberi yote yana AC na burudani za kutosha hutokaa ujutie hta siku moja au kama vipi apande scandnavia bus express office zao zipo Rugambwa hostel kwa Mwanza na kwa Dar zipo Escape one ghorofa ya 7,kumbuka hatuna ma-agent
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Kahama amuomba Magufuli ampumzishe kazi hiyo

    Hujielewi na post yako
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane njia nzuri ya kuhifadhi vyeti na nyaraka nyingine muhimu

    Weka kwenye email popote utakapokua unazipata
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hp laserjet 4250n printer

    Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sumsang J 5 na Sumsang J 7 ubora wake.

    J1 ndiyo mpango mzima
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kutoka Local Gvt kwenda Central Gvt

    Ni afisa takwimu nipo wizara ya elimu idara ya uthibiti ubora wa shule kanda ya ziwa(Mwanza),natamani sana nifanye kazi local G,haya mambo hata ukihitaji mkopo lazima uende dar(kwa katibu mkuu) nimeyachoka.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuedit attachments sehemu ya Academic Qualifications, UTUMISHI

    Mkuu kuna sehemu ya edit na kidelete,mfano nenda hapo kwenye vyeti vya vyuo itakuletea sehemu ya kudelete na kuedit
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye labtop yangu

    sijakuelewa mkuu,hebu ongeza nyama kidogo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa IT, naomba msaada

    mkuu zinauzwaje hizo adapter
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye labtop yangu

    Ninaomba msaada kwenye labtop yangu aina dell,nikiplay musics haitoi saut ila mwanzo ilikua inatoa sauti vizuri tu,inatumia window 7.Shida ya pili ni kwamba ile coursor haitulii inakua inazungunguka yenyewe tu hata km siifanyii kazi,inazunguka tu kwa speed,nina omba msaada tafadhali
Back
Top Bottom