Tusaidiane njia nzuri ya kuhifadhi vyeti na nyaraka nyingine muhimu

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la jinsi ya kuhifadhi vyeti vya taaluma, kuzaliwa na nyaraka nyingine muhimu mfano hati ya nyumba n.k.

So kwa wale mnaojua tunaomba elimu ya kina kuhusiana na hili jambo, ili kuepuka upotevu, kuchakaa ama kuungua kwa vitu hivi muhimu.

Asante.
 
Kwenye mabenki (though sina hakika kama zote) kuna kitu kama sikosei kinaitwa Safe Custody ingawaje umaarufu wa hii kitu unapungua to the point si ajabu ukienda kwenye tawi lililojaa junior bankers wanaweza kukuuliza "what's safe custody...!"...

Unachofanya ni kwamba unaenda kwenye tawi la benki husika na unawaambia kwamba una personal items ambazo ungependa wakutunzie. Hivyo vitu vyako unavifungia kwenye box na hakuna mtu ambae atafungua box lako na hilo box litatunzwa strong room.

NB: Kuna commission ambayo unatakiwa kulipia hata hivyo, ni pesa ndogo tu.
Bank gani hapa bongo inatoa hiyo huduma
 
Back
Top Bottom