Kiintaneti Member Feb 10, 2016 65 18 Apr 15, 2016 #1 Jamani naombeni kwa anaefahamu sahemu nzur wanayotoa kozi za computer ila mi nahitaji kwa ID printing tu.
Jamani naombeni kwa anaefahamu sahemu nzur wanayotoa kozi za computer ila mi nahitaji kwa ID printing tu.
N Nyamulekwetu Member Feb 17, 2016 38 11 Apr 16, 2016 #2 Uko mkoa gan? Nenda ucc au DIT wako vizur sana
Evans-Arsenal JF-Expert Member Jan 10, 2016 868 1,385 Apr 16, 2016 #3 Kozi za computer level gan certificate, dip?