Kuedit attachments sehemu ya Academic Qualifications, UTUMISHI

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
399
146
Nataka kujua kama kuna uwezakano wa kuedit, hasa kudelete attachments katika kipengele hiki kwa wale wenye account utumishi, maana nimeona sehemu ya kuADD ATTACHMENTS tu, hakuna kuEDIT, kama ambavyo mmeona nafasi zilizotangazwa utumishi hivi karibuni wanataka certified copies za vyeti, mara ya kwanza mimi nilikuwa nimescan original certificates ila nimejaribu kuattach hizo certified copies matokeo yake vimekaa viwiliviwili yaani certified copies na vile niliscan mwanzo, sababu sijaona sehemu ya kudelete au kuedit! Je kuna ubaya vikiwa hivyo viwili viwili? Na kama kuna ubaya je nawezaje kuviondoa vile vya mwanzo ili nibaki na certified copies peke yake?
 
Mkuu kuna sehemu ya edit na kidelete,mfano nenda hapo kwenye vyeti vya vyuo itakuletea sehemu ya kudelete na kuedit
 
Ipo hujafanikiwa tu kuona,mi niliweka attachment sehemu isiyohusika bahati mbaya nikafuta na kuweka zingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom