Uhamisho kutoka Local Gvt kwenda Central Gvt

chotibalula

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
206
110
Za mchana wadau....

Kama kichwa cha habari kivyoeleza, niko local gvt nataka kuhamia serikali kuu.. Taratibu ni zipi.. Pia kama una mbadara wa kutofuata hizo taratibu na kikahama itapendeza sana.. Tusaidiane kwa hili.

Karibuni!
 
njoo tubadilishane mimi ni IT technician BOT nije halmashauri yeyote mikoa ya huko kusini........,nimechoka kuishi jijini
 
Acha mipasho... Watu tuko serious hapa, ivi mchumi na IT wanaweza kubadilisha post. Hazikutoshi kabisa
 
Kama upo mambo ya Utumishi inaweza kuwa rahisi sana.Lakini kwa kada yako inatakiwa uende RS ya karibu yako ukaombe wakuazime kwa muda halafu as time goes unaomba uhamie huko kabisa.Tofauti na hapo sifahamu lakini ukitoka RS Kwenda LGAs simple unachonga na RAS wako anatoa idhini unahama
 
kwanini unasema kama angekua kada ya utumishi ingekua rahisi kuhama??
 
Ni afisa takwimu nipo wizara ya elimu idara ya uthibiti ubora wa shule kanda ya ziwa(Mwanza),natamani sana nifanye kazi local G,haya mambo hata ukihitaji mkopo lazima uende dar(kwa katibu mkuu) nimeyachoka.
 
Back
Top Bottom