Idadi ya watumishi hewa kwa kila mkoa Tanzania

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,041
510
Katika uzi huu tushirikiane kuandika idadi ya wafanyakazi 'upepo' kutoka kila mkoa kadri taarifa tunavyozipata toka vyanzo vinavyoaminika, ie magazeti, tv, blogs, redio, n.k
Mimi ntaziupdate kadri zinavyopatikana ktk comments, naanza;-

Kigoma 169
Dodoma 144
Singida 202
 
Halmashauri ya mji-Tarime....wapo zaidi ya 42 (hapo ni idara ya elimu msingi na Afya tu)
 
Sasa kazi za mkuu wa mkoa ni nini? Makonda amepata watumishi hewa wangapi? Ole wake akose
 
Baada ya zoezi kuwabaini tutapenda kujua siku zote walikuwa wanashindwa nini kuwabaini na kuwafuta? Nani alikuwa mfaidika zaidi hadi ikawa inashindikana kuwafuta kwenye payroll?
 
Ili mtu awe mtumishi hewa anakuwa na sifa zipi kwa mujibu wa hao walioambiwa wawabaini?
 
Back
Top Bottom