Recent content by ngomz

  1. N

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Safi sana mkuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wa rafiki yangu

    What goes around it's what comes around jiandae kupigiwa na wewe mkeo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

    Hakuna mume hapo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Prison break season 5 updates

    Naangalia episode ya 9 hapa iliyotoka jana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

    Hivi Umerogwa au uko kidato cha ngapi kwanza kama ni A level zero inakungoja
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Nifate inbox nikujibu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimelima alizeti zimesombwa na mvua heka 20

    daah mkuu pole sana, mimi mwaka jana nililima ekari 22 nilitumia karibu milioni 5 nilichopata ni 2m sijakata tamaa kwa kuwa shamba nilikodi nimeamua kununua langu. hivi mwezi wa tatu naenda kufyeka ekari 200 kwa ajili kulima alizeti na mbaazi kule manyara... hakuna kukata tamaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    to honest hangover 2 ni mbovu unaweza ukasema ni zile B-rated low budget movies ninayo, its too big ningeiupload hapa mkajibebea
  9. N

    JamiiForums Tanzania The best tv series of all the time

    athena the goddess of war... a korean series realesed after IRIS ya ukweli ila 24 ndio mwisho wa yote
  10. N

    JamiiForums Tanzania Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    curse of the ring....2004
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    16:05 Mr Kenyatta 2,664,462 (53.71%) against Mr Odinga's 2,072,596 (41.78%)......MAY GOD BLESS KENYA, GOD BLESS EAST AFRICA
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

    nilishawahi kukumbwa na tatizo kama lako, wana jf walinipa ushauri mzuri sana, achana nae huyo ----... kama una tamaa ya hivyo vijihela vyake shauri yako... adhabu zinatolewa hapahapa duiani, mumewe anatembelea vyuma angalia usije ukatambaa kama panya
  13. N

    JamiiForums Tanzania Z'bar vs burundi

    chezea uamsho wewe....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja

    nyie hamjui labda salama mwenyewe alikuwa analitaka hilo limandingo akalishudie, na ndio maana akamuuliza anatumia condom aina gani ili akazibebe kaisa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    mnaosema alifungwa macho acheni ujuha wakati wanamuweka chini ya ulinzi inamaana hakuwaona?, katika maelezo yake ya awali anasema kuna kipindi aliokota gongo akampiga nalo mmoja wao, aliliona na nini..... mmetumwa humu ndani au ndi akina kova na msangi
Back
Top Bottom