The best tv series of all the time

The best tv series of all the time

90210, vampire diaries.....i don't think if i can unstuck myself hapo
 
Hapana, inahusus nini? Itabidi niitafute

Hiyo TOUCH ninayo season 1 imekaa ki-frimason sana maana kuna mtoto wa huyo jack bawa haongei lakini anatumia sana namba,,iko poa kiasi chake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hiyo TOUCH ninayo season 1 imekaa ki-frimason sana maana kuna mtoto wa huyo jack bawa haongei lakini anatumia sana namba,,iko poa kiasi chake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nimeiona at last, season 1&2; sijaona huo ufreemason unaouzungumzia. Ni science fiction na detective work ndicho ninachoweza kusema.
It is good movie
 
hivi traveller kuna season 2? mana nimeitafuta sana bila mafanikio, na IRIS ipo ya kiingereza? mana mimi kusoma huku naangalia picha inavyoenda naona kazi kweli na wao ni kikorea tu
Kuna series inaitwa MISSING,Its so wondreful,dont plan to miss it

1. 24Hours
2. Prison Break
3. Lost
4. The Event
5. Traveller
6. Iris
7. Athena

Nimecheki nyingi sana zaidi ya hizo ila katika zote hizo hakuna iliyoifikia 24Hours hii series ilitengenezwa ikatengenezeka nairudia sichoki na sitakuja kuichoka!
 
athena the goddess of war... a korean series realesed after IRIS ya ukweli ila 24 ndio mwisho wa yote
 
Jumba la dhahabu ni kiboko yao,wana JF itafuteni muiangalie
 
Homeland niliangalia hadi episode ya 8 sijaona lolote la maana, kwa kifupi haijanivutia.
Season gani uliangalia? Season 2 ndo imejaa upuzi lakini ya kwanza ilikua bomba kiasi.
 
Game of thrones is the best series currently...plus in my opinion British actors are the best..Americans wanasubiri sanaaa
 
kwangu mimi hakunaga kama desperate housewife hii ki2 ni noma ila hat 24 hours, orange country( OC) na the event zimenibamba.
 
Kuna moja naiangalia hivi sasa imetulia kwelikweli inaitwa REVENGE, ipo season 2. Ila hakuna kama Lost, 24 na Prison Break.
 
tunatofautiana hatuwezi wote kufanana kimitazamo

Nikweli mkuu kila mtu ana aina zake za movies anazopenda kuangalia. Mfano Avatar watu wanaisifia sana ila nilijaribu kuangalia zaidi ya mara tatu lakini mwisho wa siku niliona ya kawaida sana.
 
ACHA wewe the best of this tym ni GAME OF THRONES...itafuteni wadau mtaiona ya ukweli sana

game of thrones tam...but not among the best...ila inanifurahisha pale yule dogo mfalme anapombwatukia dwarf kwamba 'ur talking to the king!'..dwarf anamzaba kibao king kisha anamwambia 'now i slap the king'..
Ila ukiwa mpenz wa mikasi basi chek spatacus na roma! Ni mwendo wa kubanjuana km korosho vile
 
Back
Top Bottom