Prison break season 5 updates

Prison break season 5 updates

wakuu prison break episode ya tatu 3 imetoka jana jumatano ni nomaa cna mwarabu michael ni shida pia into the badland episode ya 5 imetoka jumanne.u cnt stop sunny aisee hatari sana
Mkuu into the badland ntaipata wapi maana kwenye toxic haipo
 
Mbona update imepoa ghafla??
mike anatekwa akiwa nyumbani kwa rafiki wa mamake , Michael keshakutana na sara ugiriki na amemwelezea sara kwamba anaishi na CIA Jacob ambaye alimuua mkurugenzi wa CIA na kumfix Scofield.Sara anarudi marekani na tayari kumeanza mgogoro na Jacob.
Michael na linc wanafanikiwa kupata meli ya kuwapeleka states na wakiwa njiani seal wanatumwa kuja kumkamata Michael.Inashindikana na baada ya hapo wanaamua kuipiga Bomu meli yote ili wamuue Michael kwa Bahati nzuri Michael , linc na sucrewanafanikiwa kuruka baharini.

Itaendelea....
 
Tatizo zina Low Quality aisee nimezi download Quality yake ni Mbovu sana ngoja nitaangalia kwenye TS HD Quality
 
Thanks sana Mkuu

eztv very class .download uttorent chagua kuanzia seeds 900 ni zaidi ya HD. Enjoy
 
Tatizo zina Low Quality aisee nimezi download Quality yake ni Mbovu sana ngoja nitaangalia kwenye TS HD Quality
eztv.ag search prison break, chukua HDTV 250-300MB ni zaidi ya HD, ukimaliza njoo useme Ahsante kaka
 
Hii ya tisa ni kali kinyma kwanz akili ya Michael sio yakitot
Nadhan waandaaji wa hii kitu wanatumia akili nying sana kukwepesha matukio yasigongane na kuweka usawa lazima mmoja awe mjanja kwa mwenzake
 
Back
Top Bottom