Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Muoaji anatoka Dar kazima,sisi wa mkoani hatuna hayo mambo!
 
3d292f3a72846360326da4fbff266ae4.jpg
 
Hajui hata asipokua nayo akizaa inaweza jitokeza pia. Mbona bado atakuja kumuacha mbeleni
 
Sio muoaji huyo...sasa akinenepa baada ya ndoa ndo atamuacha au?
 
Ashukuru MUNGU Kwa kumuonyesha mapema huyo mwanaume alivyo, stretch marks tu ni hvyo je ingekua ulemavu? Aachane nae huyo si mume bora
 
Inasikitisha sana...

Michirizi ni ya kawaida sana... Siyo ya kufanya umuache msichana... Huyo atakuwa na sababu nyingie zaidi ya hizo...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom