Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Pearl Barbor

Blood diamond

The last king of scotland

Truth

Jason`s Lyiric

Tears of the sun

Escape from sobibor

Kunta Kinte

Django

Sometimes in April

Anaconda

Hatari -(By John Wayne)

Sound of music

Good deeds (Tyler Perry)

Madea`s family reunion (Tyler Perry)

and the list goes on and on.....
 
Not without my daughter

Hotel Rwanda

Sarafina

Titanic
Star Wars Episode III Revenge of the Sith
Pearl Harbor
And Anne Frank
A Walk to Remember

Iam sam
 
Jamani nisaidieni na mimi hapa!
Habari zenu waungwana!
Da sijui nianzaje ila kuna muvi niliwai iona nikiwa safarini nikashindwa kujua jina la hiyo makitu ila nahitaji kujua jina!

Muvi linaelezea uhasama wa koo mbili!wazungu wale wenyewe kabisa pure nahisi ndani ya usa au canada ila kulikua na mashamba mengi sana ya mbao!

Ikatokea kijana mmoja akapendana sana na msichana wa mwisho wa ukoo wapili!
Ambao hawapatani sasa siku moja jamaa alimwiba yule msichana wakaenda polini akiwa na mdogo wake wa kike wa mwisho!

Kaka wa mchumba wake wa kike wakashituka usiku wakawataiti masister zao wakataja kaenda wapi wakatimba na wao wakasababisha kifo cha yule mtoto mdogo wa kike mdogo wa yule bwana wake dada yao!
Da nilishuka haijaisha na nilipanda imeanza!
Nisaidieni jina la hii muvi mazee
 
filamu iliyo ntoa machozi ni moses ya marehemu kanumba
 
No ritiriti no sarenda
 
Nimeipata lakini ni mp4 sijui jinsi ya ku-convert ili niweze kuiona kwenye DVD nyumbani nimeishi kuiangalia kwenye computer. si unajua DVD zetu nyingi ni MPEG2. Je ndugu katavi unaweza nisaidia how to convert nifaidi na wengine.
Mkuu Rubi sina utaalamu wa kubadili ila jaribu ku-download You Tube Downloader nadhani ina sehemu ya ku-convert aina ya faili.
Ila tusubiri na wataalamu wengine watushushie utaalamu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rubi sina utaalamu wa kubadili ila jaribu ku-download You Tube Downloader nadhani ina sehemu ya ku-convert aina ya faili.
Ila tusubiri na wataalamu wengine watushushie utaalamu.
Asante katavi nimefanikiwa kuiconvert kwa 100% nime-google nikaipata moja inatwa Pazeera MP4 - AVI Converter iko very simple and fast. so kwa hapo nimeongeza ujuzi. Maana nilikuwa nimedownload some movies kama happy feet ambazo nazo zilikuwa MP4 zote nimefanikiwa kuzi-convert.
 
Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..

1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..

2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..

3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..

4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..

5. JOHN Q

6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..

7. Black Hawk Down

8. Blood Diamond

...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..

Nelia..
Kal ho nahoo (indian movie)
 
NZOWA.... Hii ni bonge la filam yumo tino,wastara,marehem sajuk na natasha aisee movie kali casting na stor imeshiba vibay duuh.. Wametisha
 
ANDOOR KANOON ,JOHN Q,Blood Diamond, zinatoa chozi ongeza sarafina nelia ya zimbabwe,my love ya nigeria jamaa fukara alopendana na mtoto wa kisure mimba ikatunga nje ya kizazi mke akafa wakati hawakuwa na baraka toka kwa wazazi wa mke ya challenge angalia 3 ------ ya amir khan ya kihindi ya 2009 utafurahi utalia nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom