Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

Njoo private message(PM) nitumie namba ya huyo mwalimu nitakupa na contacts zangu uweze kunipa taarifa kamili Juu ya hilo niweze kua shughulikia kiofisi zaidi,Asante.
 
Alishaolewa siku nyingi!!
 
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.

Nifanye nin
i?
vipi bado unaendelea kumpa babako dodo???maana alisema hua anakubaka ila kwa maelezo yako ni kwamba hua unmtega na akikufuck unaenjo...............
 
Mwambie mama mchezo mzima unaoendelea kati yako na huyo mwalimu halafu akizidi kukusumbua mwambie mkuu wake akiendelea mpeleke kwa mratibu siku zote fata ulichofata shuleni hayo mengine yanakuja baadae
 
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.

Nifanye nin
i?
Mwambie mama yako au mwambie mkuu wa shule au nenda dawati la jinsia Polisi uwaambie ili wafanye mtego wamdake huyo mwalimu.
 
yaan hapo ulitegemea tutakupa ushauri upi kama we mwenyewe hujielewi hivyo... au wewe ndo unamtaka huyo mwalimu maana siyo kawaida kufumbia macho wakat umekoswa koswa kubakwa!
 
Hivi Umerogwa au uko kidato cha ngapi kwanza kama ni A level zero inakungoja
 
walimu wa Chemia kwenye hii Nchi mnamatatizo sana...
 
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.

Nifanye nin
i?
Baba yangu huwa ananibaka
Ukiwa unamaliza MBs zako kushauri kwenye jukwaa la MMU 90% unakuwa unapoteza muda tu. Wengi wao wanafanya mambo ya kijinga na utoto.
 
Mwambie akutumie msg kwa simu kama anakupenda kweli mpe no. ya mama yako kama wewe huna simu kama vipi mwambie aandike barua ya kukutongoza kama ana akili hatafanya hivyo anajua utamshika. Hakikisha huwi nae karibu na huendi kwa ofisi ukiwa peke yako na hakikisha uongozi wa shule umejua.
Baba yangu huwa ananibaka
 
Naamini kwenye shule za bweni kuna matron ambaye ni mtu mwelewa na pia huenda kuna wakubwa (wanafunzi wengine) ambao ni watu wenye mawazo mazuri unaonaje ukiwashirikisha hilo huenda ukapata msaada mzuri zaidi, namna ya kulishughulikia hilo jambo kulingana na mazingira yenu.
Baba yangu huwa ananibaka
 
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.

Nifanye nin
i?

Baba'ko si unakazana nae si mwambie baba'ko?
 
Yale ya mwanzo, ya kuliwa na baba yako, SMS za mapenzi za baba yako nk ushazitatua? Toa mrejesho ili tuendelee kukupa ushauri.
 
mpe tu maan kama unaogopa kumwambia mama unategemea nani msaada wako kwa sasa
 
Back
Top Bottom