Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Freema wewe kumbe unadhani afanye nini? Una dalili za kumsapoti mwanamke mwenzio sio?
Kijana achana na mke wa mtu ni dhambi kubwa isitoshe mumewe ni kama mlemavu akijua atalia sana maana hawezi kukufanya chochote na dhambi itakuwa maradufu
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?

Hivi lori likiacha njia na kuelekea upande uliopo, utakaa chini utume post JF kuomba msaada au utakimbia mbali nalo?

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Mithali 6:32

Ungekuwa hapa karibu ningekucharaza bakora za makalio ili ujinga ukutoke. Maonyo ya mdomo hayakutoshi mtu kama wewe. Na nikuombe usimuombe Mungu majaribu, usijepata ajali kubwa kuliko aliyopata huyo mwenye mke. Unachotakiwa kufanya ni kumkumbusha huyo mwanamke mwovu kuwa mumewe anahitaji msaada wake
 
kweli wewe ni mtoto mapenzi si pesa, acha kabisaaa mke wa mtu ni sumu, hata wewe siku moja waweza kuwa kama mume wake, na je mke wako naye atakuja kuomba ushauri kama huuu wako, nakushauri muombee mme wake apone ili aendelee kusimamia ndoa yake na kumtosheleza mke wake, usitumie udhaifu wake kuujumu ndoa yake, fanya hinyo nawe utaokoka
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?
Sitaki kuamini unauliza ufanyeje??????naona umesahau usemi usemao mke wa mtu........au huujui labda??????halafu we una nini cha kumzidi huyo mume wake?kwa hiyo we ni hb saana na hii dunia ni yako kwamba hautopata majanga yoyote ya kufanya huyo dada asikusaliti kama anavyotaka kumsaliti mumewe na wewe?kumbuka mwenio akinyolewa we zako......em anza kuwa makini kaka,tumia busara ktk maamuzi yako.Kama imekuwa rahisi saaana kwake kumsaliti mume waliyekula naye kiapo itakuwaje kwa we mpita njia tuuuuuu?
 
Dogo, anataka kukupa shs ngapi mpaka umepagawa? nikikupa hizo pesa utaachana naye?
 
Mmmmmhh!! kweli pesa sabuni ya roho wahenga walisema, naona nipesa tu hapo ndo zilizokuweka njiapanda
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?

kama tayari una ufahamu wa kutambua hyo itakuwa dhambi kuliko ulizowah kuzifanya, lengo la kuomba ushauri wa kufanya au kutokufanya dhambi nini? Au uliupate sopport yetu ili mambo yatakapoharibika sisi tuwe sababu!.
Kama unajua huo ni moto na unaunguza ya nini kuomba ushauriwe kuusìka?
 
Busar zaidi itumike na pia acha mazoea n mwnamke huyo kwni ndo ymeleta yote hayo,ni lazima na wewe kuna kujilengesha kwa namna fuln nkuonya kw uslam wako,Mke wa mtu sumu na mume wa mtu sumu pia
 
tuangalie upande wa pili

je huyu mwanamke anakiu kali sana na mwanaume mgonjwa hawez ku do kwa kipind kirefu je huyu mwanamke akidhi vp matamanio yake
 
hujui unachoongea(am sorry to say) na sijui kama unafahamu kiapo cha ndoa kinasemaje! Katika raha na katika shida, katika ugonjwa na katika afya, nitakuwa na yeye pekee yake! Sijui kama watu huwa wanaelewa haya maneno! Laiti kama wanandoa wengi wangeelewa haya maneno na uzito wake hakika wagoni wasingalikuwepo.
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?

Achana na pesa maana sio za mwanamke, ni za mwanaume mwenzako. Kama unazitaka sana hizo pesa, nenda kwa mme wake akakuchape then akupe hizo pesa.
 
nilishawahi kukumbwa na tatizo kama lako, wana jf walinipa ushauri mzuri sana, achana nae huyo ----... kama una tamaa ya hivyo vijihela vyake shauri yako... adhabu zinatolewa hapahapa duiani, mumewe anatembelea vyuma angalia usije ukatambaa kama panya
 
Wewe huna girlfriend?huna hata mtu uliyekuwa unamfatilia kabla ya huyo mke wa mtu?
Jiepushe na migogoro isiyo na lazima,yawezekana huyo mume anajua ukaribu wako na mkewe naye amekuamini huwezi kumdhuru.
Ipo siku atapona,iwapo atagundua kuwa u mdhalimu wa mapenzi usishangae akakufanya utembelee machuma anayotembelea yeye sasa.
 
Back
Top Bottom