Recent content by mzanzibara-

  1. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndege ya Malaysia airline yapatikana huko Bermuda triangle

    huyu mtoa mada naona ni division 5 huyu
  2. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    mmh mie nadhani ni wahaya
  3. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for A Domain to host my website

    Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
  4. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massive ocean discovered towards the earths core!

    read this site Massive Ocean discovered towards the Earths Core! | Spirit Science
  5. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Watanzania wenzangu wanaoishi KZN, Durban

    kaka mbona wapo kibao wanabeba mabox huko, ingia supermakert au shopping mall utawakuta mabinti wa temeke wanasafisha vumbi kwenye makabati, tena utawajua kwa sababu huongea kiswahili tu, mie nilipokuwa huko wala sikuhangaika kuwatafuta, niliingia saloon 1 kukata nywele nakuta wabongo wa manzese...
  6. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wangekuwa kama nyuki dume

    hao watoto mngelea wenyewe
  7. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    hawa jamaa ni noma, yani wakimkamata mwizi wao hawampigi mateke wala fimbo wala ngumi, wao watampiga kwa maneno mpaka mwizi atakufa au kuzirai, hawa jamaa ni noooma
  8. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli nguruwe anaingia mwezini?

    wote mnarusha miguu tu sijaona jibu
  9. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaume wenye kushinda sana kwenye "Social Networks" hufanya sana punyeto

    huo uzushi mie nashinda kwenye social na ninawatongoza na ninawakanyaga vizuri sana, tena wala husumbuki kwenda mtaani kutafuta
  10. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume nimewavulia kofia

    we simu yako utakubali ishikwe!!!
  11. mzanzibara-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi wa tisa: Mwezi wa mapenzi

    mkuu umeipata wapi hii, mie alijileta mwenyewe na kuku akachinjwa katikati ya bahari
  12. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa tusile firigisi

    Swila akikatiza mbele yako ukiwa njiani utaletewa taarifa ya msiba, na kiwavi mwekundu akija kwako napo utaletewa taarifa za msiba
  13. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa walaji wa Pweza

    akina dada wakishaona mume au boyfriend wake yuko busy na pweza, wanahaha mno, sijui wanaogopa gwaride
  14. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania CCM/TANESCO wizi huu utaisha lini?

    Mkuu hii serikali naona ipo kwa kuumiza mlalahoi
  15. mzanzibara-

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanavaa nguo za dada zao, inaudhi

    kweli ukiwa na stress zako ingia JF zote zitatoka, kuna watu humu wamepinda ka dawa ya mbu tena ile ya kuchoma
Back
Top Bottom