Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Ndoa/mapenzi ya siku hizi ni kwa maslahi tu, matendo ya mwenza kama hayahatarishi uhai wa maslahi yako wewe tatizo lako nini? Mleta mada upo ktk ndoa hiyo kwa maslahi ya kiuchumi, ndiyo maana umevumilia shida nyingi katika hiyo ndoa.
Mumeo naye anamaslahi na wewe, ndiyo maana jasho lilimtoka na alibabaika, baadhi ya maslahi yake kwako ni: kumtunzia heshima kama na yeye anamke, kumtoa sopu sopu, kumlelea mtoto, kuangalia jumba lake, kungonoka na kusimamia jiko. Ungekuwa huna maslahi katika hiyo ndoa ungekuwa umesepa kitambo tu.
 
wanamume tuna vichwa viwili sasa ukifikiria kwa kutumia kichwa cha chini madhara ndio kama hivyo.
 
Kichwa cha chini kikikasirika cha juu huwa hakijitambui. (hakifanyi kazi)
 
Pole sana ila upumbavu ni wako mwenyewe haiwezekani myaka saba ya ndoa mna mtoto mmoja hii inajionesha ni jinsi gani unavyompangia matumizi ya papuchi yako
 
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani
ndugu, pole, issue sio kuzini na ndugu yake, isue ni kutenda dhambi ya uzinzi kiasi hicho tena nyumbani kwako. sijajua kabila la mumeo, lakini watu wa nyanda za kusini, binamu huweza hata kuolewa. mtoto wa shangazi unaweza kumuoa kama wewe ni wa nyanda za juu kusini, na wengi wa huko sex yao ya kwanza walifanya na binamu/mtoto wa mjomba/mtoto wa shangazi dmau moja na baba yake.its normal.
 
Davina dada take my advice seriously please najua bado unampenda mmeo right? hapa ndio iwe mwisho, kaa nae chini taratibu omba akuambie kwann alimkiss yule binti, UNAJUA inaweza kuwa pombe siku ile, MUONYE VIZURI sio kwa pupa kama kwenda kumpeleka kwa watu, hiyo itakuwa aibu yako pia. Rudisheni mapenzi yenu kwa faida ya MTOTO WENU. USIMWAMBIE MTU KABISA...Mimi nawaombea kuanzia sasa muwe na ndoa yenye REHEMA TELE heee dada yangu, UBARIKIWE SANA

Amen ndugu daaa hizi busara zako kweli
 
mmmmmmhh! nimekosa la kusema hataaa but any way huo ni mtihan muombe Mungu na utashinda 2
 
itanipa wakati mgumu sana kukaa kwa ndugu, ndugu zake wengi wanaishi mbali alafu kijijini na kama nilivyosema hakuna ndugu wa kumkanya akamuelewa coz kwanza wanamuogopa ,

Lzm wamuogope
chezea cash ww!
 
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani

huyu jamaa kama hajasoma accountance basi natural mathematics anapiga hesabu hadi gizani...!!!!
na watu kama hao ombea akufumanie yeye mama yangu utajuta kuzaliwa wanajifanya wana uchungu kish.enzi.....!!!!
 
Ndoa/mapenzi ya siku hizi ni kwa maslahi tu, matendo ya mwenza kama hayahatarishi uhai wa maslahi yako wewe tatizo lako nini? Mleta mada upo ktk ndoa hiyo kwa maslahi ya kiuchumi, ndiyo maana umevumilia shida nyingi katika hiyo ndoa.
Mumeo naye anamaslahi na wewe, ndiyo maana jasho lilimtoka na alibabaika, baadhi ya maslahi yake kwako ni: kumtunzia heshima kama na yeye anamke, kumtoa sopu sopu, kumlelea mtoto, kuangalia jumba lake, kungonoka na kusimamia jiko. Ungekuwa huna maslahi katika hiyo ndoa ungekuwa umesepa kitambo tu.

Kweli kabisa
We una akili sna

Huu ndo ukweli!
 
yaani ndugu wa mume kichomi sana mimi naogopa maana asipoka na kisa A basi atakua na kisa B lakini ndo hivyo ushaolewa shost usiache nyumba kwa sababu ya huyo binti

zamani tulikua tunawaogopa ndugu zetu kwa kuhofia hilo sasa kama hadi ndugu zai hii si kiama kimefikia

msamehe mumeo mkae myamalize mama angu usiache nyumba wala watoto huku nje kuna majanga zaidi ya hayo
 
Japo hii ni ya siku nyingi ila wee utakuwa ni mke wa Mwigulu tu.
 
Back
Top Bottom