Nmepata idea, maana nna wadada 3 wana ujauzito wangu, kwenye suala la majina umenisaidia, asante sana mleta uzi.
baba Doreen bwana
ha ha ha ha ha
wanaume ni choko sana
unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe
SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO
ukiona manyoya....
sema baba Doreens...wapo wengi hao!!!
wanaume ni choko sana
unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe
SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO
Mmmmmh baba matesha...
Babu huzeeki tu?
hii inankumbuasha rafiki yangu judy.
bwanake marehemu ngapasa anamwambia amfanyie assignment ana kazi katumwa na baba yake kumbe yupi njiani anamrudisha dem dom baada ya kutanua weekend.
don kafika salama kurudi ajali wenzako hata bruises hawana yeye kafariki.
Msibani madem watatu wote wanamlilia ngaps simu sare kila akinunua kitu ananunua anapeleka aehwmu tatu.
Nyie ndo wanaume bana !!!
shikamooni