kaka mbona wapo kibao wanabeba mabox huko, ingia supermakert au shopping mall utawakuta mabinti wa temeke wanasafisha vumbi kwenye makabati, tena utawajua kwa sababu huongea kiswahili tu, mie nilipokuwa huko wala sikuhangaika kuwatafuta, niliingia saloon 1 kukata nywele nakuta wabongo wa manzese wanachapa kiswahili, shopping mall ndio usiombe