Nna asili na kiumbe huyu....najua "kumchokoa",kumtayarisha na kumla.....sijawahi kusikia kuwa pweza akiwekwa kwenye friza anakuwa laini.Ninachojua wavuvi huwa baharini siku 4 hadi 5 kwa wiki,sasa huyo atavuliwa atapigwa kwenye chombo na kusafishwa na kuwekwa kwenye barafu,wewe ukiona wanarudi na kumuuza unajua hajapigwa...no...waulize watu wa pwani watakwambia.Huyubila kumpiga utatafuna Big G mpaka ukome....hanogi ng'o!
Huwa sinunui pweza wa Barafu nanunua fresh na najua yupi fresh na yupi sio fresh na nafahamu hata aina ya pweza na mwambao aliovuliwa!!..pale feri huwa wanakuja wa leo leo na nawajua vizuri na ndio maana huwa sihangaiki sana kuwapiga nabeba naenda kuwaosha vizuri nawaweka kwenye friza then baada ya siku mbili unakata tuu vipande. Kumbuka mimi sio mwenyeji tu wa maeneo yenye pweza wengi ila pia mimi ni mvuvi mstaafu wa pweza!..inaonekana wewe una idea kubwa na pweza ila hapa kwangu unaweza jifunza kitu kuhusu pweza usinibeze fanya hivyo nilivyokuambia lazima unikubali!
Mi nikila hao pweza mashine ndo inagoma jumla
Mkuu moja ya matayarisho ya pweza ni kumchezesha judo,kumpa kichapo kikali akiwa amekufa la sivyo haliki atagangamaa na akipikwa itakuwa afadhali utafune soli ya kiatu chako badala ya pweza!mfafanulie vizuri kuhusu aliyepigwa, sio kupikwa
Kugoma jumla ina maana ndo ushakua hannithi kwa kula pweza?
Nackia na mwanza wameanza kuletwa hao pweza hebu nielekezeni maandalizi yake ili nijenge heshima
Nna asili na kiumbe huyu....najua "kumchokoa",kumtayarisha na kumla.....sijawahi kusikia kuwa pweza akiwekwa kwenye friza anakuwa laini.Ninachojua wavuvi huwa baharini siku 4 hadi 5 kwa wiki,sasa huyo atavuliwa atapigwa kwenye chombo na kusafishwa na kuwekwa kwenye barafu,wewe ukiona wanarudi na kumuuza unajua hajapigwa...no...waulize watu wa pwani watakwambia.Huyubila kumpiga utatafuna Big G mpaka ukome....hanogi ng'o!
Pweza wa vipande barabarani hana faida yoyote zaidi ya kukuletea maradhi.....hakuna nguvu yoyote utakayoipata hapo.Unataka msaada wa mawazo,nenda feri nunua pweza wako 1kg ni km buku 4-5 hivi.....fika nae nyumbani muoshe vizuri kwanza kwa maji ya kawaida,pili maji ya moto huwa anakuwa na michanga sana mikiani.weka jikoni usiweke maji kwanza mpaka akaushe maji yake mwenyewe,kisha weka maji kwa supu yako,tupia kitunguu kiasi kuongeza hamu na km una kitunguu saum kiasi ni bora chemsha km dk30.Hii ni zaidi ya "mkuyati" hutotumia Viagra tena!
Hapa kila mdau anajifanya ananunua na kutengeneza mwenyewe mmmmmmh....
hahahaaa... Duh! Watu wavumbuzi kweli. Aliyevumbua hiyo staili ya kupiga sijui alikuwa anawaza niniMkuu moja ya matayarisho ya pweza ni kumchezesha judo,kumpa kichapo kikali akiwa amekufa la sivyo haliki atagangamaa na akipikwa itakuwa afadhali utafune soli ya kiatu chako badala ya pweza!
Wakifunikwa kwa nailoni ndo saafi, ndulele husimama kama nguzo ya Tanesco siku mbili mfululizo!Pweza wanasifika kwa kuongeza nguvu za kiume, lakini kwa upikaji huu ninaouona ni wazi kuwa nguvu zetu ziko mashakani. Wakati wa kuwaandaa, vijana hawa huwafunika kwa nailoni wakiwa jikoni hadi waive. Kuna usalama hapo? Kazi kwenu walaji wa pweza mnaosaka nguvu za ziada
Siyo nguvu za kiume bali ni nguvu za uume!!Ukimuona Pweza akiwa hai sijui hata kama utatamani kumla, kumbe Pweza anaongeza nguvu za kiume? Hii ni kweli au Iman tu?
Pweza wanasifika kwa kuongeza nguvu za kiume, lakini kwa upikaji huu ninaouona ni wazi kuwa nguvu zetu ziko mashakani. Wakati wa kuwaandaa, vijana hawa huwafunika kwa nailoni wakiwa jikoni hadi waive. Kuna usalama hapo? Kazi kwenu walaji wa pweza mnaosaka nguvu za ziada