Wanaume wanavaa nguo za dada zao, inaudhi

Wanaume wanavaa nguo za dada zao, inaudhi

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Sijui nianze na tusi au nianze kwakuwachapa bakora?
Sio siri ipo ukingoni sasa najua ni vigumu kuamini ila inabidi tujitahidi kuamini kunamitindo mipya ya pamba imetoka siku hizi haki ya Mungu wanaume tunakoelekea tutavaa hadi madera.
eti wenyewe wanaita new swagg yaani mwaume mzima na kengere zake anavaa suti ya kitenge ukimuuliza anakwambia anaenda na wakati sasa huku ni kwenda na wakati au kwenda kwenye ushoga bila kujijua yaani nyumbani dadaako kavaa kitenge/mamaako kitenge na wewe mtoto wa kiume unavaa kitenge.
Mkisimama wote utafikili wanenguaji wa bendi ya twanga pepeta, Pumbavu mnatudhalilisha wanaume wenzenu, basi vaani hata bikini tu.
NAMALIZA NA DADA ZETU.
Kama fasheni dada zetu zitawatokea puani siku izi kunawadada hasa hasa watoto wa vyuo vikuu wenyewe wanajiita wasomi, wanavaa nguo nyepesi mchana kweupe chupi Zinajichora kama ramani ya Dunia Hlafu wakipita barabarani wanavyo jibinua utafikiri fuso imekosa
muelekeo, Anza kukemea sasa utawasaudia wengine hata kizazi chako.
 
Mkuu kuna vile visuluali na vikaputula vyao vya kubana yaaani ukiwa nyuma huwezi jua ni kijana wa kiume au kijana wa kike wote wako sawa, kwa kweli tuna kazi sana ya kulea waototo wetu karne hii
 
Kwa wadadaa ungweka picha..hawa wa kiume wanaboa achana nao..
 
Mkuu kuna vile visuluali na vikaputula vyao vya kubana yaaani ukiwa nyuma huwezi jua ni kijana wa kiume au kijana wa kike wote wako sawa

Kama kambale vile, baba misharubu na mama pia misharubu
 
Hahahaha unakuta mwanaume kavaa sulwali juu ni kadirie chini nipime kimembana hadi mboo imejichora jinsi ilivyo pinda hahahah jamani ni majanga matupu, ivi ukianza kupigiwa psi psi na wanaume wenzio utalalamika alafu sulwali inapovaliwa sasa utazani kajinyea tpyuuuuuu!!
 
eti wenyewe wanaita new swagg yaani mwaume mzima na kengere zake anavaa suti ya kitenge ukimuuliza anakwambia anaenda na wakati sasa huku ni kwenda na wakati au kwenda kwenye ushoga bila kujijua yaani nyumbani dadaako kavaa kitenge/mamaako kitenge na wewe mtoto wa kiume unavaa kitenge.

Hivi hayo matusi yako hapo juu yamewajumuisha na wakuu wa nchi?

RAISKIKWETE.JPG
 
Yani hata lakusema sina sasa wakija juu kuna blauzi kabisa ya kike kisa ina sisgner Versace kama sijakosea jina hata Diamon alilivaa no gauni kabisa lipo magotini.its a shame
 
Mkuu kuna vile visuluali na vikaputula vyao vya kubana yaaani ukiwa nyuma huwezi jua ni kijana wa kiume au kijana wa kike wote wako sawa, kwa kweli tuna kazi sana ya kulea waototo wetu karne hii

mimi huwa napata shida sana nikiwaangalia kwa nyuma hadi wakati mwingine nahamasika na ili kupata uhakika naongeza mwendo ili nimwangalie kwa mbele kupata uhakika,aisee kuna kizazi kikubwa cha machoko kinakuja nyuma yetu!
 
Binafsi sioni tatizo na vazi la kitenge,ni prints za kiafrica zaidi,
kinachoboa ni viskintight na vikaptula bila kusahau unyoaji wa kisasa na kuvaa visendo vya kike!
 
kweli ukiwa na stress zako ingia JF zote zitatoka, kuna watu humu wamepinda ka dawa ya mbu tena ile ya kuchoma
 
Yani hata lakusema sina sasa wakija juu kuna blauzi kabisa ya kike kisa ina sisgner Versace kama sijakosea jina hata Diamon alilivaa no gauni kabisa lipo magotini.its a shame

hata chriss brown alivaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom