mzanzibara-
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 179
- 61
Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
https://uk.godaddy.comWakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
Hapana Mkuu domain hai host website ukiwa na domain name utalazimika kulipia server space kwa ajili ya kuweka mafaili ya website yako halafu kuna kitu kinaitwa name server ndicho kinachounganisha host space na domain name yakoMsaada kidogo mm ni layman wa hii lugha
hivi domain ndo ina host website?
Mcheki Paje ana host 30$ kwa mwaka
Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
unaweza kuhost web yako kwa sh 4000 tu kwa mwez wasiliana na huyu jamaa Donn ama tembelea website yao hapa https://yatosha.com/
affordable ndio gharama ya chini mkuu....?https://uk.godaddy.com
Fata hiyo link mkuu utapata maelezo yote kama ni .tz ni Tsh 25,000 Domain na Hosting inategemea unahost wapi inaweza kua kama Tsh. 120,000 jumla ni Tsh 145,000 hiyo ni affordable yaani gharama ya chini kabisa
Sisi tunakupa huduma ya hosting kwa Tsh 85000 tu ,PM kwa maelezo zaidihttps://uk.godaddy.com
Fata hiyo link mkuu utapata maelezo yote kama ni .tz ni Tsh 25,000 Domain na Hosting inategemea unahost wapi inaweza kua kama Tsh. 120,000 jumla ni Tsh 145,000 hiyo ni affordable yaani gharama ya chini kabisa
50,000 yote hiyo kuna mahali wanahost kwa 40,000 tu Mwaka MzimaMi nahost kwa 50,000TZS kwa mwaka unapata domain na hosting space ya 1GB na bandwidth unlimited. PM for business.