Mwezi wa tisa: Mwezi wa mapenzi

Mwezi wa tisa: Mwezi wa mapenzi

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Katika mwezi huu tegemea moja au baadhi ya yafuatayo kwako.
1. Demu uliyekuwa unamtongoza kwa muda mrefu akikukatalia huu mwezi atakukubalia
2. Mwanaume uliyekuwa unamtaka mda mrefu atajileta mwenyewe
3. "Zali" zitaibuka... ambapo from no where utajikuta umeshiriki penzi na mtu ambaye hukumtarajia before
4. Wachumba sugu wengi watatangaza ndoa
5. Ukibeep tu kwa msichana au kwa mwanaume... jibu litakuwa yes.
6. Kama hukuwa na mpenzi kabisa utampata mwezi huu
7. Wake za watu na waume za watu watachepuka unexpectedly.
8. Mpenzi mlikuwa mmekosana mtarudiana
9. Mahusiano yako ya kimapenzi yatakuwa very lovely, na hamtagombana

Usiniulize kwa nini.

But wapo wengi wameshaanza kuobserve haya na watakuja hapa kushuhudia
 
Ni kweli mkuu hilo liko wazi nimeanza kushuhudia tangu tarehe moja mwezi huu nina ushahidi wa kutosha sana katika hili ulilosema.
 
Mbona yote hayo yanatokea mwezi wa kwanza hadi wa kumi na mbili? Au mleta mada ni kipi kati ya hayo uliyoyataja hayatokei mwezi wa 6, 5, 2 au wa 8?
 
Muzinaaa....
Muzina kitata,...
Heri mwana....
Heri pepe santu...
....
 
Hahaha,hiyo namba 7 ishindwe na ilegee kabisa,better namba 9,hongera kwa kuwa mbashiri....
 
Ni kweli mkuu hilo liko wazi nimeanza kushuhudia tangu tarehe moja mwezi huu nina ushahidi wa kutosha sana katika hili ulilosema.

Huu ni ukweli mkuu... ni observation ya miaka kadhaa plus shuhuda za watu wengi...
 
Hahaha,hiyo namba 7 ishindwe na ilegee kabisa,better namba 9,hongera kwa kuwa mbashiri....

Kwa bahati mbaya ndio hivyo... hiyo namba 7 nayo hutokea, japo haiharibu mahusiano...
 
Ni kwrl mkuu kama ukitaka kuamini aliyekuzingua apa jf mwambie tena kiulaini anakubali, Eti si kwel dadaz?
 
mkuu umeipata wapi hii, mie alijileta mwenyewe na kuku akachinjwa katikati ya bahari
 
Back
Top Bottom