Tuliambiwa tusile firigisi

Tuliambiwa tusile firigisi

Kumbe zilifanana karbu sehem zote utofauti kidogo sana!...nice history to remember,cjui wajukuu zetu wakuja kusoma nini kwetu ssi nahis sis tuna mambo ya ajabu zaidi kuliko hata hawa babu zetu,maana ss saiv hakna miiko tena!,na kama ipo basi uhm no one cares! Whether ni taboo nzur au mbaya!
 
kiganja cha Mkono wa kulia kikiwasha utapata pesa....
 
Ati mtu mzima akijamba ni marufuku kucheka, badala yake umwambie pole. Nyammbaff kabisa mila za kale.
 
Wakulia = utapokea hela
Sasa ukiwasha wakulia unamwita mtu anaandika hela utakayo

kiganja cha Mkono wa kulia kikiwasha utapata pesa....
Nahisi kupata pesa siku sita, haiwezekani mkono uniwashe...
Haya hebu kwenye kiganja andika milioni...
fedha zianze kujaa mifukoni... "noti, noti"

Nahisi vitu vingi nvingi vingi vingi vingi vingine... sivisemi hadharani
 
Na mtu akifa kwa kujinyonga anatakiwa azikwe hapohapo alipojinyogea na sku hiohio,na mti kuchomwa moto adi mizizi.
 
Ukiwa unakula kisha ukapaliwa na chakula na kuanza kukohoa eti kuna mtu amekutaja
 
Swila akikatiza mbele yako ukiwa njiani utaletewa taarifa ya msiba, na kiwavi mwekundu akija kwako napo utaletewa taarifa za msiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom