afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,986
- 1,592
Nilinunua umeme ambao umeisha baada ya miezi sita leo naambiwa nilipie service charge ya miezi sita? service ipi kwa muda wote huo hakuna fundi aliyewahi kuja kuigusa hata mita? Wanakata VAT, EWURA na pesa za UNIT hizi haziwatoshi kuedesha shughuli zao hadi tuibiwe kivingine? NMB,NBC,CRDB etc nao wanatuibia kwa staili hiyo wakati kila muamala wanachukua chao, monthly service ya nini? Tunaibiwa kupitia monthly service TANESCO, NMB, NBC, CRDB(bank) hakuna anayejali. Tanzania tunawanasheria makanjanja(wapiga pesa). Tunaibiwa hakuna mwanasheria anayetetea si Tundu Lisu wala Pro. Safari wanaoliona hili. Wanasheria mpaka sehemu ya kupiga pesa ndo mnashughulisha ubongo? Hili hamulioni? SERVICE CHARGE INABOA NI WIZI, MIRIJA YA KUPIGA PESA.