Hivi ni kweli nguruwe anaingia mwezini?

Hivi ni kweli nguruwe anaingia mwezini?

Attachments

  • 1410361713786.jpg
    1410361713786.jpg
    6.7 KB · Views: 531
Hivi mnaokula nyama ya nguruwe mliona nyama zote haziwatoshi mpaka huyu mwenye uso na pua mbayaa
 
Hatakama angekuwa anaingia juani hatumuachi.ndiokwaanza nimetika kuwapa chakula.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuu Shughuli mimi nachojua anachukua masaa 24 kusaga chakula ndio maana alipigwa marufuku .

Lakini ni nyama poa , ila masaa 24 ni mengi kama amekula kitu hatari atafanya Marination kwa nyama yake ndani ya 24hrs ukila inawezakuwa soo ukizingatia mnyama mwenyewe hachagui chakula tofauti na ng'ombe au mbuzi .
 
Yani vitu vyemte vitamu ni hatari et!!
papuchi-magonjwa
pesa-inabeba mambo mengi sn
Mdudu-mara hatakiwi kutumika.
Sasa sijui tufanyeje?
 
Nikweli kabisa sisi tunafuga wetu akiwa mwezini tunamvisha pedi za majani ya mgomba au tunamchomeka bunzi LA muhindi kwenye k take.
 
Kwani hujui kwanini baadhi ya Madhehebu ya Kikristo yanakataza kumla?
We fuatilia anaependa kula Nguruwe lazima makalio yatakuwa yanamtetemo akitembea.
 
Hawaingii mwezini ila wanakuwa na heat kama wanyama wengine
 
Back
Top Bottom