Wanaume wangekuwa kama nyuki dume

Wanaume wangekuwa kama nyuki dume

Mkuu hata swala mla papuchi kwenye kundi la majike ni Mmoja tu hadi apinduliwe baada ya mapigano makali

katika pita pita zangu nikakutana na hii...kumbe kifo sio mwisho wa kuliwa papuchi...

"Egyptian husbands will soon be legally allowed to have sex with their dead wives -- for up to six hours after their death. The controversial new law is part of a raft of measures being introduced by the Islamist - dominated parliament," under the control of the Muslim Brotherhood.
 
ukishangaa ya nyuki utakutana na ya binadamu?
 
Ipo Siku shetani atakimbia matendoyetu nawaambia.
 
Nyuki anayekula papuchi ya malkia huwa ni mmoja tu,nwengine wote ni wasindikizaji. Na akimaliza kuila huanguka na kufa papo hapo! Wengine wote Papuchi huisikia 'redioni' tu

aiseee,,,, mbona hiki kitu kwangu ndio nakisikia leo?
Kwahyo inamaana nyuki wote wadogo ni madume?
Na anakufa kwa utamu au inakuwaje?
 
Ipo Siku shetani atakimbia matendoyetu nawaambia.

sio ipo sku mpaka sasa shetan anaiogopa sana dhambi ya ufirauni.
Mwanadamu anapoanza kuf i ra iwe kwa mwanamke au mwanaume shetan hukimbia kabisa na hujificha ili asione hicho kitendo..
 
Kifo cha utam...nasikia kwamba kwa wadada ukimpata dume aliekufa kwa utamu ukamsaga nidawa balaa ya kunogesha papuchi!?

dah... Hii ndio jf ....
Utasababisha wale wenye k mbaya waanze kusaka mizinga ya nyuki
 
Sijafamu mpaka leo kwa nini Mwenyezi Mungu aliamua uzalishaji wa nyuki kuwa kamoja tu alafu kushineh (Ana R.I.P)
ndo maana mimi sio nyuki ni binadamu...
We kama mwanaume ungekuwa umetuaga lini? labda ningeishi milele Je ni fair kweli hii?:wacko:
ni mipango ya mungu..
 
hayo ni mamlaka ya MUNGU hatuwezi kuyaingilia na njia za MUNGU hazichunguziki ndugu.
 
pia kuna wale wadudu wengne jamii ya panzi, dume akimla jike, utam ukiwa mwshon jike ananogewa hadi anamla dume kichwa,dume anadondoka na kufa

Hao wadudu kule Mwanza tunawaita "vunja chungu", wanafanana na senene. Nilipigwa butwaa siku naangalia Natgeo Wild nakutana na hiyo kitu. Huwa inatokea pale jike anapopata njaa wkt wa sex, so chakula cha krb ni dume, anatafunwa shingo au mguu au chochote kilicho karibu.
 
aiseee,,,, mbona hiki kitu kwangu ndio nakisikia leo?
Kwahyo inamaana nyuki wote wadogo ni madume?
Na anakufa kwa utamu au inakuwaje?

Dume anaandaliwa na huwa hana sting..aumi bao lake moja lina uwezo wa kurubutisha mayai 10milioni.... Kwa nini asife kwa utamu.
 
sio ipo sku mpaka sasa shetan anaiogopa sana dhambi ya ufirauni.
Mwanadamu anapoanza kuf i ra iwe kwa mwanamke au mwanaume shetan hukimbia kabisa na hujificha ili asione hicho kitendo..

Mgiriki Unaionaje Sheria ya mpya ya Misri kuhusu mke anae fariki....
 
Sijafamu mpaka leo kwa nini Mwenyezi Mungu aliamua uzalishaji wa nyuki kuwa kamoja tu alafu kushineh (Ana R.I.P)

We kama mwanaume ungekuwa umetuaga lini? Je ni fair kweli hii?:wacko:

Je wanawake wangekuwa kama vinyonga ? ingekuwaje
 
Hao wadudu kule Mwanza tunawaita "vunja chungu", wanafanana na senene. Nilipigwa butwaa siku naangalia Natgeo Wild nakutana na hiyo kitu. Huwa inatokea pale jike anapopata njaa wkt wa sex, so chakula cha krb ni dume, anatafunwa shingo au mguu au chochote kilicho karibu.

Imagine unaliwa kiungo wakati wa kutema mzigo! Ungebakiwa na kiungo gani mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom