Hatimaye ndege ya Malaysia airline yapatikana huko Bermuda triangle

Hatimaye ndege ya Malaysia airline yapatikana huko Bermuda triangle

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kushauri humu kuwa watu msianzishe uzi ukiwa umelewa,haya ndo matokeo yake
 
Labda mimi ndo sielewi. Video inasema ndege ilianguka Indian ocean. Kwa uelewa wangu mdogo, bermunda unayoitaja kwenye heading yako iko atlantic ocean... Hebu fafanua mkuu.

Tumewaza pamoja. Bermuda triagle iko Atlantic ocean na hii ndege ilipotelea Indian ocean. Vitu viwili tofauti kbs
 
Ndege iliyo potea takribani mienzi minne iliyo pita yapatikana huko bermuda triangle sehemu ambayo vitu vingi sana huwa vinapoteaga sehemu hiyo.

[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | FULL Video - YouTube
You stupid fellow, you are insulting our intelligence and exposing your shallow knowledge on world geography!!
Bermuda Triangle iko West Indies , bahari ys Atlantic, while unaongelea bahari ya Hindi!

Kama shule ina mgogoro you have just exposed your lack of the slighest knowlddge on the matter , and the video clip is just as stupid.
 
You stupid fellow, you are insulting our intelligence and exposing your shsllow knowledge on world geography!!
Bermuda Triangle iko West Indies , bahari ys Atlantic, while unaongelea bahari ya Hindi!

Kama shule ina mgogoro yoj have just exposed your lack of the slighest knowlddge on the matter , and the video clip is just as stupid.

Noo it crushed in Zanzibar an island in Zimbabwe
Huu upuuz na ujinga huanzia ngazi za juu mpaka chini wanachanganyikiwa wanaropoka tuu without any research and even if they research they dont reason and even when they reason they are too stupid to give a wise decision s
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada asilaumiwe inawezekana jana alishinda kwenye makabidhiano ya rasmu bado ana uchovu kichwani
 
Mambo ya kukurupuka, au alitaka kuiweka kule kwenye jokes!!
 
Nimeamini kuelimika ni zaidi ya kujua kusoma na kuandika......
 
inasemekana ile ndege ilikuwa imebeba sayansi fulani kubwa kuipeleka china toka malaysia, makomandoo wa wamarekani wakafanya kuiteka na kuiingiza nchini kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom