Recent content by mvumilivu

  1. M

    Hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka 2010

    Ngnjera, ngonjera hatutaki tena tunataka vitendo. Nani ana muda wa kusoma kurasa zote hizo na kibatari. Washauri wake hawajui tuko gizani? au tusome saa za kazi. JK NAKUCHUKIA.
  2. M

    Ten Ways To Marry A Wrong Person

    Umegusa penyewe. Inakera kuona watu hawajui mila na desturi zao. Kama wameamua kubadilika basi wanyamaze wasituwekee desturi za Marekani hapa. Hizo emotions, sijui maua, sijui dinner dates tuwaachie wenyew.
  3. M

    Balozi Uingereza amfunda JK

    Kuanzia ngazi za juu kwenda chini ndio italeta mafanikio.
  4. M

    KLH Exclusive:Mhe Anne Kilango Malecela Alonga!

    Nimefuatilia hii thread mpaka nimeshindwa kunyamaza. Sikutegemea JF tunaweza kujishusha kiasi hiki. Yaani katika watu wote tanzania kweli tunaweza kukaa na kujadili Anne Kilango kuwa rais, kweli tumeishiwa. Hebu jitahidi mumjue vizuri nje ya hii interview ailyotoa. Vidokezo vikubwa ni kwake...
  5. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Jamani hao Polisi wanaweza kushitakiwa, walijuaje kwenye huo msafara kuna fisadi na ni Mkapa??
  6. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Na yeye JK vipi hakuwa waziri serikali ya mkapa?
  7. M

    TGIF: Mrema alipokutana na JK wiki hii (Picha)

    Jambo linalosikitisha katika yote ni kuwa watu wengi wanachukia mafisadi na kuwalaani. Wakati huohuo wao ndio mstari wa mbele kumdhihaki na kumcheka mtu kama mrema kwa sababu hajajilimbikizia mali na pia hana suti ya kufuliwa ulaya kama wengine. Nadhani katika mioyo ya watanzania wengi wangetaka...
  8. M

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Kitila umeyasema yote siwezi kuongeza neno. CCM = MAFISADI=CCM. Aliye msafi na ambaye ameunyooshea kidole ufisadi anyooshe mkono. Wote ni aidha mafisadi au wanawashangilia na kuwaficha mafisadi.
  9. M

    Nawapongeza sana wananchi na ongezeni kasi pia

    Silaha ya myonge. Umenifurahisha sana na hiyo ya EL kashindwa kula chakula !!!Watanzania wanaamka usingizi wa pono!!
  10. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Pamoja na kuomba msamaha kama na yeye ana hako kaugonjwa ( kuna kila dalili) je ataweza kukaacha. Je kama ana yeye ana akaunti kibao nje ataweza kuwarudishia wananchi hela zao? Kuomba msamaha ni jambo moja kujirudi ni lingine. Sie yetu macho.
  11. M

    Chenge ajiuzulu!

    JF kiboko yao.
  12. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Inategemea yeye ni msafi kiasi gani. Kwani yeye hakuwa kwenye serikali wakati haya madudu yanafanyika. Lazima tufikirie mbali kuna sababu zinazompa kigugumizi.
  13. M

    Wanasiasa watoe mwongozo mashindano haya

    Hivi hii nayo ni siasa, naomba moderator uipeleke inakostahili. Kuna mambo mengi ya muhimu sana yanayoigusa jamii yetu, sidhani kama mashindano ya miss TZ yanachukua uzito huo. Haya ni mawazo yangu.
  14. M

    TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Jamani sio wote wanaamini dini zenu. Mimi nitamkumbuka kama mtu aliyeshutumia kuua ambaye sheria ilimuacha kwa sababu ni rafiki wa rais wetu. Namuombea aende motoni kama upo. Pamoja na hayo isije ikawa usanii maana hii ni bongoland.
  15. M

    Jamani hatuna Serikali tena!

    Rev Huhitaji kuongeza neno. Yaani ni AIBU AIBU AIBU TUPU. Natamani ningekuwa na uwezo nikimbilie hata Rwanda. Viongozi kazi hawajui hata kuongea!!! Jamani hivi tunaenda wapi. Hata mtoto mdogo angeulizwa maswali hayo angekuja na jibu.
Back
Top Bottom