Nawapongeza sana wananchi na ongezeni kasi pia

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Baada ya matukio machafu ya wizi na uharamia wa viongozi wa awamu ya 4 chini ya CCM , wananchi wamegundia Bungeni six anawa fix wakaamua kuchukua silaha wenyewe na kuingia vitani .Wananchi walianza pale Zitto alopo onewa Bungeni na badaye CCM kutumia zaidi ya 100mn kutetea bajeti ila ukweli ni kwamba walikuwa wana gauge joto la wananchi .

Wananchi walianza kuzomea nakutoa ujumbe katika mabango .Vitendo vile vilionyesha kwamba CCM haithaminiwi tena na sasa watu wanataka ukweli juu ya maendeleo ya Nchi yao .
Zomea zomea iliwashitua sana CCM wakajiuliza ujasiri huu umetoka wapi.Baada ya hapo imekuja EPA watu wamezomewa na hata wanazomewa.Juzi mtoto wa kigogo mmoja alifunga ndoa Dar ikawa haina maana watu walizomea hata sherehe ikadoda .Magari pia yanazomewa kila kona .Lowasa yalimkumba haya alizomewa hadi akacha kusafiri siku hiyo na pia aliingia katika hotel moja watu wakagunma kwa sauti akaacha chakula tena .Sasa Chenge kasema vijisenti na watu wanakula naye .Azan kazomewa kaomba msaada Bungeni wote mnajua .Mimi nasema natoa pongezi kwa JF wote na msimamo na wale wananchi wanao kutana na wala pesa zetu hawa wazidi kuwazomea kwa nguvu na ni silaha nzuri kabisa hadi hapo watakapo amua kuacha wizi .
 

mvumilivu

Member
Jun 21, 2007
39
5
Silaha ya myonge. Umenifurahisha sana na hiyo ya EL kashindwa kula chakula !!!Watanzania wanaamka usingizi wa pono!!
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Silaha ile ile leo imetumika kumfanya mzee wa vijisenti ajiondoe madarakani na itakuwa karaha kwa familia za watoto wa wezi wa nchi yangu .Tuendelee kupeana habari .
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Chenge nasikia alizomewa juzi ika muumiza sana .Nadhani nalo jambo hilo hakulipenda .Je atajiondoa na hata CC ama NEC ya Chama chao ?
 

Nurujamii

JF-Expert Member
Jun 14, 2007
414
11
inatakiwa sasa watu waanze mayowe kila wanapowaona njiani - mwizi huyooo, kamata mwiziiiii, mwizi huyooooo, mwizi jamaniiii....kaiba vijisenti vyetu huyoooooo
 

Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
1,531
861
Chenge nasikia alizomewa juzi ika muumiza sana .Nadhani nalo jambo hilo hakulipenda .Je atajiondoa na hata CC ama NEC ya Chama chao ?

Ingefaa aendelee kukaa huko CC na NEC ili awe kielelezo kizuri kwa wananchi kuhusu chama chao kitukufu cha CCM kilivyotekwa nyara na wenye pesa na wapenda rushwa wanaowachagulia hao viongozi.

Chenge, Rostam, Lowasa, n.k. waendelee tu kuwepo huko NEC kui-define CCM.
 

Allah's Slave

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
562
44
Hili linchi linatuumiza tu roho na kutia uvivu, Tumuuzie mmarekani afanye Dampo la Nyuklia tugawane pesa kila mtu akatafute maisha kwingine.

Imefikia sehemu nimekata tamaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom