Chenge ajiuzulu!

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
825
Developing news....lakini nimeambiwa sasa hivi na mtu ambaye ni credible
os11.jpg

Ama kweli serikali yetu iko kwenye AUTO PILOT
march7-1.jpg

by the way ningependa kuwafahamisha kuwa huyu CHENGE ana £15 MILLION na wala si £1 million kama ilivyowekwa kwenye public domain

kshambakokoto-1.jpg 
kwa mujibu wa tbc chenge amejiuzulu!!

Hongera the dark forces zilizokuwa zikifanya mashinikizo aondoke licha ya yeye mwenyewe kugoma kufanya hivyo awali!!
 
ile habari kuwa serikali yetu iko kwenye AUTO PILOT naona ni kweli kabisa

Nadhani its better serikali nzima ikajiuzulu na sidhani kama kuna mtu ana akili timamu anataka kuwa waziri au kuwa part of this incompetent administration
 
Kujiuzulu ni one step, inabidi afikishwe mahakamani.

Chenge man, na wewe ni bangusilo au utawataje mafisadi wenzio mlioshirikiana kusign mikataba feki na mrudishe zile 10% mlizokatiwa plus tax.
 
Amejiuzulu, then what??
Tofauti na mwenzake Lowassa, kujiuzulu kwa huyu hakuna impact yeyote unless he is taken to court soonest. Tatizo huyu Rais wenu haambiliki. He was advised wakati wa kuunda baraza jipya atupilie mbali kina Chenge, cheki sasa walivyomchengua!
Lets wait and see
 
Sasa arudishe mabilioni yetu (au vijisenti vyetu kama alivyodai)aliyoyaweka katika bank accounts zake za nje pamoja na accounts za mkewe na watoto wake. Je atajiuzulu na ubunge na ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM? au huko ataendelea kupeta tu?
 
ile habari kuwa serikali yetu iko kwenye AUTO PILOT naona ni kweli kabisa

Nadhani its better serikali nzima ikajiuzulu na sidhani kama kuna mtu ana akili timamu anataka kuwa waziri au kuwa part of this incompetent administration

Nakubaliana na wewe GT, watu kama nina Kapuya, Masha et al hawatakiwi wawe madarakani wakati ni watuhumiwa. Tumtarajie JK kuvunja baraza la mawaziri kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka mitatu!
 
Nakubaliana na wewe GT, watu kama nina Kapuya, Masha et al hawatakiwi wawe madarakani wakati ni watuhumiwa. Tumtarajie JK kuvunja baraza la mawaziri kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka mitatu!

ubavu huo anao?
 
Kweli jamaa kaenda na maji

^Watch out this is part of a very big game here .Wana Usalama wamemshauri JK amwombe jamaa ajiondoe ili kuipa CCM unafuu .Hii yoye ni janja maana kuna mengi behind the Curtain.So hizi ni move za kutaka kujisafisha lakini kwa uhakika wanatakiwa kufikishwa mahakamani tupate haki huko na kujua mengi .Hii haitoshi kabisa.
 
Jamani na 'visenti' vyetu inakuwaje??

Akishajiuzulu si kuna baadhi ya 'kinga' zinaondolewa, nashauri ahojiwe mara moja na ikibidi awekwe 'sehemu ya usalama' ili aweze kutoa ushahidi muhimu ambao naamini atakuwa nao tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom