Recent content by mtemi

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Video Clip ya Slaa in Karatu...

    hurrrrrrrrrrrrrrrrrrrr eeeeeeeeeeeeeeeee dr
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliohusika katika hili wasiachwe hivi hivi...

    nchi imeoza tushirikiane tumweke mchukia ufisadi dr slaa ili afanye kazi ya kuridisha heshima ya nchi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Gharama za Uchaguzi Mwiba kwa Wabunge!

    wadau nina shida ya kupata chapisho la sheria ya gharama za uchaguzi kwa kiswahili,nasikia wabunge walipewa kama kuna mdau anayo atundike hapa au anielekeze wapi pa kupata ili tuwasaidie watz wa vijijini
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

    gs come out tukujue ili kampeni zianze mwaka huu hakuna kulalal mpaka kieleweke
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Finias Magesa yu wapi?

    tumuombee aweza kulikomboa hilo jimbo mikononi mwa mafisadi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Spika Sitta Apotoka Tena Bungeni !- " Wapinzani wana Hila!"!.

    vp swali la Mwerra wa tarime kuhusu wanawake kuwanyonya shemeji zao sehemu za siri kwa kurazimishwa na wale polisi wa kanda maalum??????......
  7. M

    JamiiForums Tanzania William Mhando MD Mpya wa TANESCO

    all the best eng mhando
  8. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia 50% kwa 50% Bungeni ni kuwa wavivu wa kufikiri!

    tatizo la 50% 50% ni vigogo kuweka wake zao ,na nyumba ndogo ,binti zao nk yaani ni vurugu tupu......uisadi mwingine.....tuchaguane tuache kuiga yasiyiotufaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kunyanyasa wapinzani Geita

    wADAU habari nilizozipata kutoka geita katika jimbo la busanda polisi wamemkamata mwenyekiti wa kata ya lwamgasa - CHADEMA kwa madai ambayo hayajaeleweka,baada ya mwenyekiti huyo kuandaa mkutano wa operashen sangara. HII HABARI YA POLISI KUONEA WAPINZANI ITAISHA LINI?? dr slaa au zitto...
  10. M

    JamiiForums Tanzania JK: Takrima NGUMU kuikwepa

    huyu mtu anashangaza sana,anaprove kuwa analinda mafisadi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Bakari Muhammed amng'ang'ania Kikwete - Sehemu ya 2

    mmeshaharibu sasa......na shekh yahaya tena..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM yaishambulia JamiiForums

    sasa mtu anaitwa' kibonde' halafu watu msumbuke kumjadiri .....mwache na ukibonde wake na mafisadi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Daktari wa uzazi kamchezea mke wangu!

    DIANA dabodiff unasemaje kuhusu hiyo issue?????
  14. M

    JamiiForums Tanzania JK Atakapokuwa Hana "cha Kupoteza!"

    atajivunia CHUO KIKUU CHA DODOMA.....aka UDOM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

    nimekubali changamoto hiyo, mambomengi watz tunaiga kama hatuna akiri hasa ukianza na viongozi wetu wameshashindwa kufanya ubunifu kwa kutumia asili yetu hasa makabila yetu yapatayo 120 tumeshindwa kubuni vazi la spika ,wanasheria,nk ina maana hapo kale hakukuwa na mabaraza ??????? hatuna...
Back
Top Bottom