Polisi waanza kunyanyasa wapinzani Geita

mtemi

Member
Jun 17, 2009
56
1
wADAU habari nilizozipata kutoka geita katika jimbo la busanda polisi wamemkamata mwenyekiti wa kata ya lwamgasa - CHADEMA kwa madai ambayo hayajaeleweka,baada ya mwenyekiti huyo kuandaa mkutano wa operashen sangara. HII HABARI YA POLISI KUONEA WAPINZANI ITAISHA LINI??

dr slaa au zitto mnasemaje kuhusu hii hai???:eyeroll2::smile-big:
 
Nimapema kujua kama ni uonevu iwapo hatujui sababu ya kukamatwa kwake. Kwakua sheria hazimuexcempt mtu kwakua tu mpinzani, Nivyema tufatilie tupate kiini zaidi cha sababu ya kukamata kwake.
 
Back
Top Bottom