mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Thats why they are called doctors,waache wafanye kazi yao,huenda kutomasa ni sehemu ya udaktari!!
Wana jamvi kuna hili jambo limenifika, nikaona bora nililete hapa nipate busara zenu.Juzi nilimpeleka mke wangu hospital, wakati yuko ndani na daktari(male) alikaa muda mrefu sana. Sasa wakati tuko njiani nikamuuliza kwa nini kachelewa sana, akanijibu kuwa daktari ana tabia mbaya, nikamuuliza kafanya nini? Akaniambia ni kawaida daktari wa uzazi kumshika mgonjwa viungo vya uzazi kwa ajili ya checking. Lakini jinsi huyu daktari alivyokuwa anamshika alikuwa ana lake jambo. Kwa sababu alimshika matiti kwa namna ya kumtomasa tomasa, akawa anamuingiza vidole ukeni,baada ya muda anarudia rudia kisha anajifanya kama anaandika details.Sasa wana JF nilikuwa nauliza hivi ni kawaida kwa daktari wa uzazi kufanya hivi vitendo?? Naombeni mnipe jibu na ushauri kabla sijaenda kumchukulia RB na hatua zaidi
Broo, leave it as it is, haitasaidia, ukienda kwa walimu, madaktari, polisi, mahakimu wooooote wana namna ya kulindana, kwani wakikuambia alikua akifanyiwa deep diagnosis na wakakuwekea na misamiati mingine utaelewa? Sheria inaruhusu uingie na Mkeo, inaonyesha kaka hujui sheria, next time ukifika ingia naye....Abiria chunga mzigo wako
Mkeo hajafanyiwa hicho kitu usitake kudanganya!!!!!!!!!!!!!!!!!! ingekuwa kweli na wewe umekasirika wala usingeandika hapa, wangeandika wengine kwa niaba yako wakati wewe aidha huko segerea umeshamtoa mtu meno ya sebuleni, acheni un-realistic stories! mke unamjua weye????
Pili kama kweli, huyo mke hakutakiwa kukueleza kisaikolojia ni kuwa KAPUNGUZA UKALI WA TUKIO LENYEWE, ameshatembelewa na daktari.period!!!!!!!
DIANA dabodiff unasemaje kuhusu hiyo issue?????
Hapo kamegwa sema tu mkeo hakutaka tu kusema direct ila ndo marupurupu ya fani yao.Huko chini doctor alikua anaangalia uvimbe na maziwa alikua anachunguza dalili za saratani,mengine no comment kama mume mwenyewe anaitwa boflo.