William Mhando MD Mpya wa TANESCO

Hapo roho zenu kwatu kabisa! pongezi kila kona kwanini? kwa kuw a kateuliwa William! Angekuwa Juma hapo pasinge tosha hapa.........
Wewe mdini bado upo hai? Duh, kweli watu wasio na input huishi muda mrefu..

Ni mimi ,

Mawazo B. Mwakalinga,

wa Detroit..

lolz
 
Hapo roho zenu kwatu kabisa! pongezi kila kona kwanini? kwa kuw a kateuliwa William! Angekuwa Juma hapo pasinge tosha hapa.........
i

,,..huyu ndie kanda ...sijui huwa unafikiria nini!! lol...............................

......kubishana naye bora kulima nyanya jangWANI!!!!.....anapeleka watu ambako wala hawapo....
 
Mh Mhando nampa pongezi nyingi.

Kwangu ni furaha na kwangu nahisi kububujikwa na machozi. Mhando kwa wasiomjua ni mtu wa watu na ni kiongozi atakayeipeleka TANESCO ktk mwanga. Tukumbuke Mhando akisaidiana na Mramba kama msaidizi wake marketing hakika wamefanya kazi nzuri japo ni vigumu kwa mtu uliyeko nje kuelewa.

Huyu ndiye aliyekuwa akisimamia upelekwaji umeme vijijini tena ktk low cost isitoshe ndiye aliyebeba vision ya TANESCO kule imetoka na kule inaenda.

Imekuwa ni jambo la miujiza sana maana amepata bahati ya kukaa ktk kitengo ambacho alikuwa akikitumikia mzee mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu. Ndugu Maruwa. Maruwa alikuwa hard working na alitarajiwa kuwa Md as mhando leo.

Mimi namuombea heri na fanaka maana He is real a good and nice man.

Hongera Muhando.
 
Kilichonifurahisha ni kusikia jina jipya kabisa katika click ya uongozi wa nchi hii, labda basi tumeshapata dira ya kwamba tanzania ni ya wote sio wale wale wa kila siku.

Ni kweli shirika lina changamoto nyingi manake hata hujui linatoka wapi linakwenda wapi, lakini jaribu kwa kadri ya uwezo wako na wewe ufike utakapofika naamini ukiwa na nia njema utasonga mbele tu. Changamoto kubwa uliyonayo ni wafanyakazia walioajiriwa na md aliyepita kwa vigezo vilivyo nje ya perfomance na mahitaji ya shirika.

Sina ushauri ila kukuombea hekima na ujasiri maana hilo swala huwezi kuliepuka. Ila kwa kweli kuja kwako kumeleta uhai kwa wafanyakazi wachapa kazi waliosahaulika lakini ndio haswa walioweza kuipeka shirika mbele, sio hawa wa juzi wa dot com@ ufisadi.

Mungu aliyekupa hii nafasi ndio akuonyeshe njia.
 
Mh Mhando nampa pongezi nyingi.

Kwangu ni furaha na kwangu nahisi kububujikwa na machozi. Mhando kwa wasiomjua ni mtu wa watu na ni kiongozi atakayeipeleka TANESCO ktk mwanga. Tukumbuke Mhando akisaidiana na Mramba kama msaidizi wake marketing hakika wamefanya kazi nzuri japo ni vigumu kwa mtu uliyeko nje kuelewa.

Huyu ndiye aliyekuwa akisimamia upelekwaji umeme vijijini tena ktk low cost isitoshe ndiye aliyebeba vision ya TANESCO kule imetoka na kule inaenda.

Imekuwa ni jambo la miujiza sana maana amepata bahati ya kukaa ktk kitengo ambacho alikuwa akikitumikia mzee mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu. Ndugu Maruwa. Maruwa alikuwa hard working na alitarajiwa kuwa Md as mhando leo.

Mimi namuombea heri na fanaka maana He is real a good and nice man.

Hongera Muhando.
Hii unakuwa huwatendei haki watendaji wengine.

Inawezekana kabisa alifanya haya yoote kama sehemu ya majukum yake. Lakini pia km kuna ufanisi naamini mabosi wake ndio walimsaidia kufika hapo.

Kwahiyo tuzifanye basi pongezi ni za shirika kuliko mtu mmoja. Haiwezekani matatizo yanaonekana ya Top boss ila mafanikio tunampa sub-ordinate. Its not fair.
 
Congratulations to new MD. We wait for your contributions to reducing black out in this country.

“If we are serious about winning, we have got to realize that the true test of our commitments is ahead of us, not behind us” –Bill Clinton the ex US president.
 
Hakuna jipya!

ntoke vipi yake anasema:

" Tutaanza kukusanya madeni nyumba kwa nyumba... tunadai bil 300... Kuhusu madeni ya serikali tutafanya utaratibu.. " blah blah as usual
 
afanye kazi na tuone matunda yake la sivyo akiwasikiliza hao kina

- upembuzi yakinifu unatarajia kuanza
- serikalit ina mpango.....
-kutokana na sababab zilizo----

awe strick na kazi yake laaa sivyo.....!!?
 
Wanaomfahamu wanasema "ni wako mtiifu" sana. Wanasiasa wetu wanawapenda watu kama hawa ili mambo yao yawanyookee hasa kwenye mwaka huu wa uchaguzi. Nampongeza kwa kuwa amekulia ndani ya TANESCO, analijua vizuri shirika letu hili. Bado DAWASCO.
 
An object at rest tends to stay at rest and an object in motion tends to stay in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an unbalanced force.

disappointed b'se no change because of this reality please check

Sad but true my friend, sad but true.
Msitegemee kipya kwasbabu naye alikuwepo miaka yote hio iliyopita ya uzembe wa TANESCO na alikua katika management board!
 
Nampongeza kwa kuwashinda wenzake..

binafsi simfahamu sana ila kwa hiyo CV kwamba amekulia kikazi tanesco na nisehemu ya mafanikio na matatizo ya shirika hilo nina shaka sana na uwezo wake wa kufanya maamuzi magumu ili shirika lisonge mbele.

wanasiasa watamtumia kama kawaida na yeye angependa kuwaheshimu kwa kuwatimiziaa tamaa zao..

management ya parastatal tanzania bado ni kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
 
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi ambayo ilikuwa ikipokea taarifa ya CHC jana Dar es Salaam, Msajili Msaidizi wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Geoffrey Msella, alisema ... Akizungumzia NIC, alisema baada ya shirika hilo kuvunjwa na kubadilishiwa mfumo wa uendeshaji, linaendelea vizuri isipokuwa tatizo la ukosefu wa Mtendaji Mkuu. “Hii kwa kweli ni changamoto, kwani michakato yote tumefanya na usaili, lakini watu wote waliojitokeza hawakuwa na sifa ya kushika nafasi hiyo.

Alisema tatizo hilo si kwa NIC pekee, bali hata Tanesco, TTCL na CHC nayo yamekuwa yakikabiliwa na changamoto hiyo ya kukosa watu wenye sifa.

Serikali imeanza kukubali kuwa nchi inaupungufu mkubwa wa rasilimaliwatu, hapo ndipo lilipo tatizo... Hata MD Mhando ni chaguo dhaifu kutokana na tamko la serikali jana

Source: Habari Leo


 
Back
Top Bottom