Recent content by mnazi kipemba

  1. mnazi kipemba

    Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    Weka picha tumfahamu na sisi...ila umeshuka mistari sana...nahisi kuna jambo,...hata hivyo nampongeza jamaa ana kipaji...
  2. mnazi kipemba

    Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

    Hahahaaha,chezea Dau Dua ya mwenye kudhurumiwa inapokelewa haraka na mwenyezi mungu...mnagongana vichwa tu,
  3. mnazi kipemba

    TANESCO Kigoma tuoneeni huruma

    Jamani TANESCO tuoneeni huruma. Washeni umeme tuangalie mkutano Dodoma...
  4. mnazi kipemba

    Looking for gentleman

    Halafu mnasema binafamu wote ni sawa?...huu ni upendeleo wa wazi wa mwenyezi mingu,na nasema huyu anenda peponi moja kwa moja
  5. mnazi kipemba

    Looking for gentleman

    Weka picha tukuone..labda we ni jini...
  6. mnazi kipemba

    Uongozi wa Rais Magufuli utapunguza sana misuguano ya kidini nchini

    OK,basis kama ni hivyo tunaelekea pazuri
  7. mnazi kipemba

    Uongozi wa Rais Magufuli utapunguza sana misuguano ya kidini nchini

    Kassim Majaliwa ni Muislam,katika utaratibu wa swala za Kiislam ni vigumu kwa asie muislam kushiriki,kwani zina masharti mengi ikiwe kanuni za usafi....
  8. mnazi kipemba

    Sijawahi kusikia askari wa aina yoyote aliefikia ngazi ya Uprofesa

    Nyongeza hapo kuna Dr.Superintendent of Police Adolfina Ngoso,(Ph.D)huyu yuko UN makao makuu NewYork USA
  9. mnazi kipemba

    Hizi fake ID za JF kidogo ziniletee balaa

    Hahahaaa,akaunti feki
  10. mnazi kipemba

    Niachane vipi na huu mchepuko?

    Nenda kwa mganga,kama vipi nikusaidie huju Kigoma wako wengi...hatokufuata tena hiyo.
  11. mnazi kipemba

    Ingawa ana mwanya, mbona anayo ndogo?

    Ana umri gani,kuwa makini hajakua hiyo...miaka 30 viboko na faini inakuhusu
  12. mnazi kipemba

    Harmonize na Jackline Wolper Wapigana (PICHA)

    Hahahaa,mi wala sikufikiria mabusu na wala ngumi...nilifikiria wamepigana mi#i
  13. mnazi kipemba

    Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

    Niko doria maeneo ya manzese,kuna jamaa wanapigana hapa,wala siwamulii...acha wauane
  14. mnazi kipemba

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Sawa kafiche makontena yako
  15. mnazi kipemba

    Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Kachilimu?...nani huyo
Back
Top Bottom