Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

Wananchi kwa sasa tunajiuliza huyu Dr Dau ambaye alikuwa ni kiongozi mkubwa wa NSSF shirika ambalo lina jukumu ya kuhifadhi michango yetu ya kila mwezi, tumeambiwa amepewa ubalozi lakini hadi sasa hatujaambiwa ni nchi gani, huku nyuma tunashuhudia ufisadi mkubwa ukiibuliwa kwenye NSSF. Je huo ubalozi ni kichaka cha kumficha kumuokoa na kutumbuliwa?
Ubalozi ni hadhi,sio lazima upangiwe nchi,anaweza kutumwa na Rais sehemu yoyote ile duniani au anaweza kubaki na hadhi yake ya kibalozi hadi kufa kwake
Dau sio hadhi yako wala levo yako utapata kisukari bure kumfuatilia
 
Hahahaaha,chezea Dau
Dua ya mwenye kudhurumiwa inapokelewa haraka na mwenyezi mungu...mnagongana vichwa tu,
 
Ubalozi ni hadhi,sio lazima upangiwe nchi,anaweza kutumwa na Rais sehemu yoyote ile duniani au anaweza kubaki na hadhi yake ya kibalozi hadi kufa kwake
Dau sio hadhi yako wala levo yako utapata kisukari bure kumfuatilia
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi ni balozi wa nchi ya kufikirika!
 
Ok kama ni balozi nyumba kumi kwenye mtaa wangu hapa chamwino ni muda muafaka sasa kwa mh rais amtumbue kufuatia taasisi yake aliyokuwa anaiongoza kutamalaki ufisadi wa hali ya juu
Rejea ripoti ya CAG... achana na Dau.
 
Rejea ripoti ya CAG... achana na Dau.
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Rpoti hiyo hiyo mnayo ipinga kila kukicha leo ndio unaona inafaa?
 
Back
Top Bottom