Mbona profile yako inasema una 45 years

Halafu mnasema binafamu wote ni sawa?...huu ni upendeleo wa wazi wa mwenyezi mingu,na nasema huyu anenda peponi moja kwa mojaHivi huu mzigo sheihk kipozeo anaangalia au anapita pembeni?
Dahh..........!!!!!!Hata tense pia tatizo????Ndo kiingereza gani hiki? Kwa nini usiandike tu kibongo mkuu?
Hebu kuwa wazi ,ni mambo yepi ya baadae?..wengine mnakuwa mmesha watoto sha halafu mwatafuta wa kuwalishia.Hello,
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.
Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.
Ha ha ha kwa sababu ni bikra au kwa sababu gani mkuu kipemba?Halafu mnasema binafamu wote ni sawa?...huu ni upendeleo wa wazi wa mwenyezi mingu,na nasema huyu anenda peponi moja kwa moja
Wewe ndo umenena maana ana kaz kubwaAll de best christina