Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Huna cha kufanya? CV ya Kubenea itakusaidia nini? Uliza kwa katibu wa bunge atakupa? Lakini nina mashaka unajiandaa kuibuka na majungu?
 
Yaan km alifika chuo kikuu, itakua ni mlimani, maan yupo vizur kwa kugoma!!!
 
Hapa sidhani kama CV itawekwa, ngoja niendelee na kazi zingine
huyu ni jamaa wa mipasho na vidole juu atakuwa wapi na CV zaidi ya O' Level km sio bakora?
kuna kipindi alilipiwa ka-Scholarshipi nchu za Scandinavua na Mamvi
Kubenea-3.jpg

Kashindye Ngalu shuhudia Wanawake wanavyounga mkono mipasho, wanastaajabu na kushangilia
Kubenea-11.jpg
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.

Bill Gates ana degree ngapi? Tafakari.....Uwezo wa kiuchumi alionao Mhe Mbowe ni zaidi ya kuwa na degree hata kumi kama hazikusaidii chochote.
 
ww ni muongo sio mbunge wako sema zaidi zaidi wataka kuleta siasa za maji taka na kuchafuana .

kama ww ni mwana ubungo huwezi uliza hili ina maana kwenye mikutano ulihudhuria majibu yako yote unayo

Hivi hayo ndiyo majibu wa Mpiga kura wa Kubenea?

Kwani cv inagharama gani mpaka watu waanze sarakasi badala ya kusema kuwa kubenea ni mjanjamjanja wa mjini au kumwaga cv kama ilivyo kwacaki na Lipumba,Slaa,Lissu na Zitto.

Kubenea ni memba wa JF,Tafadhali mjulieshini atuletee cv
 
Back
Top Bottom