Saving account
Member
- Jun 28, 2016
- 21
- 22
Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku nyingiiiiii.. nadhani utakuwa ushaziona hizi picha..nimeweka basi tu!
SAMAHANI LAKINI!!!......
SAMAHANI LAKINI!!!......