Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Rose garden Dom... mwana Jf yeyote aje tuvunj mifupa
 
wana jf nipo butihama karibuni sana tunakula kuku pembeni kuna kinywaji baridi.
 
Nipo jf na sina mpango wa kwenda sehemu nyingine. kama mtanikuta hapa ukitaka tufahamiane
 
Nipo Bullz Savei,nina kama kilo Nne imebakia nahtaji mtoto mzuri mmoja,mwanajf anaehtaji anipm
 
nipo kilabu cha tupendane hapa malizia lita ya nne chimpumu mwana jf aliyepo asogee hapa tuagize na mbege.

mi nilikuwa hapo tupendane, sahizi nipo kwa mama kubwenga hapa bombambili nakunywa myakaya. Njoo tukutane
 
niko NYUMBANI HOTEL N RESORTS JAMANI AKUNA HATA WA KUMPA OFA PDIDY

HAPO N MOSHI JAMANI NAJUA WA KISIMII MSHAANZA KUNIPIGIA ...
 
On my bed....
nachat...!

Cc jje's
 
Last edited by a moderator:
Preta naomba nijekukusalima jamani niko moshi
 
Back
Top Bottom