Niachane vipi na huu mchepuko?

Niachane vipi na huu mchepuko?

Single mothers ni wanawake km wanawake wengine, wanaumia, wanahisia, wana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna waliokuwa single mothers kwa kuachwa na kutelekezwa, kuna waliofiwa(msiba) na matatizo ya maradhi, historia au ugumu wa maisha waliopitia mpk wakajiweka pembeni na kusonga mbele bila kukata tamaa.

Mtoto wa single mother ana mwezi mmoja tu tangu amezaliwa, anakupigia simu na kukusumbua kwa ajili ya mtoto mchanga umsaidie kuna magumu anayopitia kipindi hiki cha mwanzoni mwa uzazi na amekuona ww ndio msaada unaweza kumsaidia na kumuonelea huruma..bila kujali ni mwanao au sie (kitanda hakizai haramu), mtoto mchanga hana gharama kubwa mahitaji yake

Usimuache kwa kipindi hiki, jus take care of her b'se she needs u
 
Ungetuuliza wakati ulipoanzana naye majibu yetu yangekuwa msaada kwako. Sasa ushauri wa kweli kwa hali oligopoly ni huu KAA NAO WOTE, KAMA MAJUTO NI MJUKUU. YAMEKUSTAHILI, KWANI UNAVUNA ULICHOPANDA. Usithubutu kumkimbia huyo mke mdogo, kwani uzoefu huo wa kumkimbia utakufanya siku si nyingi utajikuta ukimkimbia hata huyo mama mkubwa mwishoni utaitwa MKIMBIZI. GANGA MALA!!!!
 
Tatizo ni moja umetoa ahadi nyingi, sasa automatcly unaona aibu mbele yake
 
Maisha yameingiliwa! Siku hiz tatizo mpaka wavulana wanakuwa na familia.
 
Aisee sisi wanamume muda mwingine...
Sasa mke unae kwa mchepuko mpaka kutia mimba inakuwaje kuwaje,Acha kukwepa majukumu.
Kawaida mimi mwenyew kila nikitembea na mchepu anataka tuzae na wapo watatu wamebeba m zangu NIMEAMUA SITOWAKIMBIA
 
dah ...hatari keli kweli....hivi kwa nini mnashindwa kuwaambia michepuko kuwa bwana hapa ni kugegedana tuu. no ndoa no watotoz na wewe mwenyewe unakuwa kama mbogo likija suala la mimba za kijinga.
uzuri dunia ya sasa wadada waelewa kabisa cha msingi wee umwambie ukweli ili ajue kuwa unamgegeda tuu na yeye apate pesa zako..tit for tat
 
nampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu!
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??

ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
hapo ndio nimegundua kuna virusi mchepuko vinabidi vitafutiwe kinga na dawa
Haiwezekani mkeo ndani ana mimna umsaliti kwa lijitu lenye mimba kubwa kupita hata ya mkeo.
 
nampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu!
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??

ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
honestly naomba kukuuliza swali

Ulishawai umizwa kwny mahusiano???
Koz huwa nafuatlia comments zk towards men, mara nyng huwa zinakuwa na negatve attitude.....
 
Mapenzi na mchepuko hayafi ndugu yangu. Unakosea sana kuyazima kama mshumaa.
 
Single mothers ni wanawake km wanawake wengine, wanaumia, wanahisia, wana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna waliokuwa single mothers kwa kuachwa na kutelekezwa, kuna waliofiwa(msiba) na matatizo ya maradhi, historia au ugumu wa maisha waliopitia mpk wakajiweka pembeni na kusonga mbele bila kukata tamaa.

Mtoto wa single mother ana mwezi mmoja tu tangu amezaliwa, anakupigia simu na kukusumbua kwa ajili ya mtoto mchanga umsaidie kuna magumu anayopitia kipindi hiki cha mwanzoni mwa uzazi na amekuona ww ndio msaada unaweza kumsaidia na kumuonelea huruma..bila kujali ni mwanao au sie (kitanda hakizai haramu), mtoto mchanga hana gharama kubwa mahitaji yake

Usimuache kwa kipindi hiki, jus take care of her b'se she needs u
Kabisa.... Kinyume na hapo arogwe tu.
 
halafu ulikuwa humpi hela na mtoto umemwachia! akifikisha siku 40 aje akukabidhi ulee na mkeo awanyonyeshe kama mapacha ukizingatia naye atajifungua
 
Wewe kilichokufanya umsaliti mama kijacho halafu ukaenda kuangukia kwa mama kijacho tena ilikuwa nini hasa?? Mkiambiwa mtulie hamuelewi, we huoni kuna hatari kubwa hapo kumletea mkeo magonjwa pamoja na kijacho?? Hebu uwe na huruma jaman,humpendi kabisa mkeo wewe hamnaga mapenzi ya hivyo. Pole kwa mkeo na kwa huyo mchepuko
 
Single mothers ni wanawake km wanawake wengine, wanaumia, wanahisia, wana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna waliokuwa single mothers kwa kuachwa na kutelekezwa, kuna waliofiwa(msiba) na matatizo ya maradhi, historia au ugumu wa maisha waliopitia mpk wakajiweka pembeni na kusonga mbele bila kukata tamaa.

Mtoto wa single mother ana mwezi mmoja tu tangu amezaliwa, anakupigia simu na kukusumbua kwa ajili ya mtoto mchanga umsaidie kuna magumu anayopitia kipindi hiki cha mwanzoni mwa uzazi na amekuona ww ndio msaada unaweza kumsaidia na kumuonelea huruma..bila kujali ni mwanao au sie (kitanda hakizai haramu), mtoto mchanga hana gharama kubwa mahitaji yake

Usimuache kwa kipindi hiki, jus take care of her b'se she needs u
Mkuu ninaelewa unachoniambia nitaufanyia kazi ushauri wako ila kuhusu kuachana nae nitumie njia gani labda unisaidie hapa NDUGU YANGU.
 
Ungetuuliza wakati ulipoanzana naye majibu yetu yangekuwa msaada kwako. Sasa ushauri wa kweli kwa hali oligopoly ni huu KAA NAO WOTE, KAMA MAJUTO NI MJUKUU. YAMEKUSTAHILI, KWANI UNAVUNA ULICHOPANDA. Usithubutu kumkimbia huyo mke mdogo, kwani uzoefu huo wa kumkimbia utakufanya siku si nyingi utajikuta ukimkimbia hata huyo mama mkubwa mwishoni utaitwa MKIMBIZI. GANGA MALA!!!!
Hapana mkuu sitoweza kukaa na wanawake wawili ila labda kusema nitumie moyo wa ubinadamu nimsaidie matumizi ya muhimu ya mtoto na si vinginevyo.
 
Tatizo ni moja umetoa ahadi nyingi, sasa automatcly unaona aibu mbele yake
Hapana sio kweli kwani nilijua nina mke na sikuwa mropokaji mbele yake kwani nilitambua kuwa ahadi ni deni na sikuwa tayari kujiwekea visingiti vya malengo yangu ya baadae kwa kumpa ahadi ambazo zingenipa mawazo.
 
Maisha yameingiliwa! Siku hiz tatizo mpaka wavulana wanakuwa na familia.
Hizo ni fikra zako Mkuu umeshakariri enzi za Uongozi wa nchi wa awamu ya 2 ulikuwa unakuta kijana mwenye miaka 30 bado yupo kwao kumbuka dhama zimebadilika,
Hizi enzi ni za digital kijana mwenye miaka 21 mpaka 23 ana uwezo wa kumudu familia kwani kama ni ajira anayo kutokana na elimu yake nakuomba usiangalie umri angalia nyakati au SOMA ALAMA ZA NYAKATI.
 
Nikikupa pole hata shetan atanishangaa! Mjinga kabisa ulivyokuwa unamchemeka ka dushe kako akili ulikuwa umeziazima? Leo na unaona hafai? Bure kabisa hata dawa kama anayo akluroge tena ufe tu! Hivi mkoje na kunyanyasa wanawake? Mangapi amekulea? Kila siku ulikuwa unaenda kwake mikono mitupu siku nyingine unamtoroka gest hili alipe yeye leo unamsimanga? Mbaf*
 
Back
Top Bottom