Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?


naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,776
Points
2,000
naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,776 2,000
Ndo kusema Mujini msingi kiuno?
Tuwekee na lipicha lake bwna huyo Kitombi wa wake zetu.
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,556
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,556 2,000
Rachel A. Temu

Hii umeipata ndio stori mjini nakumegea..................


Bi. Mwele Malechela,
Najua utashangaa sana kuusoma huu ujumbe. Usishangae mshukuru Mungu
kwa kuzipata taarifa hizi. Nimeona njia nzuri kukupatia ni kukueleza
ukweli kwa njia hii kuhusu mtu unayejihusisha naye sasa hivi
anayejiita Kim. Majina yake halisi ni Kimbangambanga Julius Mgaya.
Jamaa ni mtu mbaya na hatari sana. Wewe ni mtu mwenye heshima mbele ya
jamii na mkubwa sana kiumri kujihusisha kimapenzi na Kim. Waswahili
wanasema mapenzi hayachagui ni sawa isipokuwa tabia mbaya za mtu huyo
ndio tatizo. Jamaa ameshatapeli sana hapa mjini na kuwarubuni wanawake
wengi wenye nafasi zao kimapenzi na mwisho wa siku anawatapeli na
kuwachuna mali zao.

Kim anafahamika sana hapa mjini kwa kuishi maisha ya kitapeli,
utasikia hadithi nyingi kuwa yupo bize ana mikutano hadi usiku na
wafanyabiashara au viongozi wa serikali kumbe ni uongo, hiyo ni kutaka
kujionyesha kwa watu kuwa ni mtu muhimu na wa maana. Safari nyingi
anazofanya ndani na nje ya nchi ni za kitapeli. Ana wanawake
anaowachuna wapo Marekani na UK. Maisha yake yote ni utapeli na
kupitia wanawake wenye nyadhifa au wafanyabiashara wakubwa.
Kinachomsaidia ni utanashati wake wanawake humnunulia vitu vya
thamani. Kim amesoma hadi kidato cha nne tu hana cheti chochote zaidi
ya hapo. Kim anajifanya ni mbia kwenye biashara kubwa kubwa hapa mjini
akijichanganya na wahindi na viongozi wakubwa. Ukweli ni kwamba hana
kitu na yeye ni kishoka tu anawahangaikia watu mahali walipokwama na
yeye analipwa kamisheni yake. Anatangaza mjini kuwa majengo
yaliyobomolewa kule Masaki ni yakwake, kumbe ni ya mfanyabiashara
mwenye asili ya kihindi. Anasema anamiliki hoteli Arusha inayoitwa
Snowcrest, ukweli ni kwamba hoteli hiyo inamilikiwa na kijana wa
kichaga anayeitwa Willy pamoja na dada yake anayeitwa Theo.
Kujihusisha kwa Kim kwenye hoteli hiyo ni kwa ajili ya kutafuta
biashara na uurafiki wake na mmiliki wa hoteli hiyo lakini amekuwa
anajifanya ni mali yake.

Mama yangu Mwele, nakueleza mambo ya Kim ili usiingie kwenye mtego
wake. Anakuhadaa ili mbadilishane magari, usithubutu. Kwa muda sasa
amekuwa akikushawishi umpe gari lako nayeye akupe gari lake aina ya
Benz . Benz hilo alikuwa amelipaki muda mrefu bila kulitembeza, sio la
kwake. Benz lina kesi maana alimdhurumu mwanamke mmoja na sasa
mwenyewe amechachamaa analitaka gari lake. Sasa kuziba kasheshe hilo
anataka kukuingiza wewe mkenge ili yeye ajitoe. Mama chukua tahadhali
bado mapema. Kim anapenda sana kubadilisha magari lakini
yasikubabaishe, yote unayoyaona sio mali yake ni ya kutaperi na
kubadilishana na watu kama anavyotaka kukufanyia. Alishawahi kuwa na
gari aina ya Hammer lakini halikuwa la kwake, alimtapeli mwanamke
Zanzibar mwenyewe husema kwa watu kuwa ameliuza. Alichukua magari
mawili kwa Chikawe yule waziri wa sheria mojawapo ni BMW X5 ya rangi
ya kibluu hadi leo hajamrudishia na anajizungusha nayo.

Chikawe anamuonea aibu kumdai kwa kuwa alimsaidia kumtafutia nyumba
binti yake. Kim alivyo sasa hivi ana mahusiano ya kimapenzi na binti
huyo wa Chikawe anayeitwa Tamika ameolewa na mzungu lakini utafikiri
Kim ndio mume wake alivyomganda. Kim alikuwa na magari mengine Suzuki
Grand na Mitsubishi ambazo si mali yake. Magari hayo kabla ya
kunyang’anywa na mwenye mali alimtapeli mama mmoja anayefanya kazi
shirika la nyumba NHC, ofisi yake ipo Msasani. Mama huyo mtu mzima
aliingizwa mkenge na Kim baada ya kuingia kwenye uhusiano wa
kimapenzi. Na kwa kuwa mama huyo anafanya kazi NHC alimsaidia Kim
kuipata nyumba ya nationa house anayoishi sasa Kim Chang’ombe. Nyumba
hiyo aliipata kitapeli kwa msaada wa huyo mama, wakaibomoa na kujenga
nyumba nyingine kubwa ambayo ndio anaishi Kim sasa hivi. Huyo mama
aliyafanya yote hayo akijua kuwa wataishi na Kim kama mume na mke.
Nyumba ilipoisha Kim hakumjali tena huyo mama jambo lililomfanya mama
wa watu ajue kuwa ametaperiwa na kumyang’anya magari yake mawili
Suzuki Grand na Mitsubishi. Hivi sasa mama wa watu yupo mbioni
kuikomboa nyumba hiyo ya Chang’ombe maana kaijenga kwa jasho lake.
Kuna gari nyingine tena saloon Progress ambayo nayo haikuwa yakwake.
Gari hiyo alimtapeli dada mmoja anayeitwa Lucy ambaye ameolewa na
Mkorea wanamiliki kampuni inayoitwa TAKAOKA. Kama kawaida yake Kim
alianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada huyo huku akimshawishi
wafungue kampuni. Lucy alimpa pesa nyingi Kim, gari na jenereta kubwa
lilifungwa kwenye nyumba ya Kim huko Chang’ombe. Lucy alipomshtukia
Kim akachachamaa na kumnyang’anya gari na jenereta, hataki hata
kumsikia Kim. Mama Mwele ona mifano ya wenzio.

Tabia nyinginewe ya Kim ni umalaya. Kila mwanamke anataka kulala naye,
wengi anawaahidi kuwaoa na hata kuwavisha pete. Anatumia mbinu hiyo
chafu ili kuwanasa nyie dada zetu akishapata anachokitaka anatafuta
pengine pa kuchuna. Kuna mwanamke aliyezaa naye Zanzibar, baada ya
kukorofishana aliondoka na mtoto wake. Sasa hivi amezaa mtoto wa kiume
na mwanamke mwingine polisi traffic anayeitwa Shufaa anakaa Ukonga.
Mwanamke mwingine yupo benki ya NBC, kuna mwingine naye anaishi
Kibangu ni vurugu tupu. Kuna wanawake wawili ambao ana mahusiano nao
bila wao kujijua wanafanya kazi Ifakara health institute. Mmoja wao
anaitwa Rahima Dosa ambaye naye kama walivyo wengine amemtolea posa
baada ya mdosi kuona Kim anamzingua. Rahima ameapiza kuwa hawezi
kumuacha Kim vinginevyo atamuua kwa kua ameshampotezea muda wake
mwingi. Wakati huo huo ana mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi
nitakutajia wachache ninaowafahamu na ambao Kim ameshanitambulisha nao
akina Premi Kibanga yupo ikulu ni mwanamke wake wa muda mrefu, Sofia,
Badra Masud wa Tanesco, Justina Shauri, Shina Sanare, Batilda Buriani
balozi wa Kenya ambaye alikuwa mbunge zamani, Grace, Mange Kimambi na
mama yake Rose Kimambi ambao wote amelala nao na wengineo. Arusha pia
ana wanawake wawili ninaowafahamu mmoja nafanya kazi kwenye hoteli
moja maarufu na mwingine anafanya kazi BOT Arusha.

Kwanini nimesukumwa kukujulisha tabia za Kim, pamoja na udhaifu wetu
wanaume ni kitendo kibaya kuwachanganya wanawake wanaofahamiana au
ndugu. Sijuwi mlikutana wapi na Kim lakini kabla hujaanza kuwa karibu
naye aliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye sitakutajia ni wa
familia yenu alianzisha uhusiano naye wa kimapenzi akamwambia anataka
kumuoa, dada huyo akapata mimba. Kim akamwambia aitoe mimba dada huyo
akakataa kuitoa. Kim kwa siri alitafuta dawa na kumpa binti atumie
akimdanganya kuwa ni za vitamin zisaidie kukuza mimba hiyo. Dada huyo
kwa mapenzi alitumia dawa hizo na akaanza kuumwa tumbo na damu
kumtoka, alipoenda hospitali aliulizwa ametumia nini naye akaonyesha
dawa alizopewa na Kim kumbe hakupaswa kuzitumia kabisa katika ujauzito
na mimba ilitoka. Dada huyo si mbali na familia yako lakini jamaa
haoni vibaya anachotaka ni kuvuna. Huyo si mwanaume mama achana naye
atakuliza. Kibaya zaidi tabia ya umalaya haogopi hata magonjwa wala
hajifunzi maana mfano mzuri ni watu wake wa karibu ambao ni wazazi
wake walitangulia mbele za haki kutokana na ugonjwa wa ukimwi lakini
yeye hajali.

Sasa hivi kuna watu wanajiandaa kumfungulia mashitaka ya utapeli na
kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Amewaliza wengi na watu wana
visasi naye. Kwa kupenda maisha ya juu ametengeneza maadui kuliko
marafiki na amekuwa anaishi maisha ya kujifichaficha. Kim hana mwisho
mzuri. Jihadhari sana na Kim anapenda sana ushirikina na waganga wa
kienyeji. Anatumia waganga wengi kutoka Bagamoyo, Zanzibar na Iringa.
Na utapeli wake ni wa kutumia dawa kuwafunga watu wanaomdai na
kuwapumbaza wenye pesa zao ili wasimshtukie. Mwaka jana mwanzoni kuna
taarifa zake zilitoka kwenye vyombo vya habari na magazetini
zikitahadharisha watu kukaa mbali na Kim. Habari hizo zilitumwa kwenya
vyombo vyote vya habari pamoja na picha yake. Habari hizo
naziunganisha hapa chini ili usome kama hukubahatika kuzisoma mwaka
jana. Ningeweza kukueleza mengi kuhusu Kim ni aibu kwa haya machache
huenda ikasaidia kukufungua macho. Jamii inakuheshimu sana na ndicho
kilichoniumiza na nikaamini humjuwi vizuri Kim.
Weka picha..!!!
By Mwanaume wa DARESALAMA
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,720
Points
2,000
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,720 2,000
Old School ishhhhh.....About a year ago ,year ago(in bobshmurder's voice)
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,975
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,975 2,000
1469973140574-jpg.373959
huyu mrembo mbona habari zake huku hazikauki haipiti wiki bila habari zake kuletwa huku kweli huyu binti anawanyoosha na huyu alieleta huu mgaazeti lazima tu atakuwa ni lemutuz yeye ndio bingwa wa kushindana na mabint mitandaoni
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,002
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,002 2,000
Aisee, huyo KIM ni typical kabisa mjomba wangu mmoja aliewahi kuwa na michezo hio enzi za miaka ya 90 kipindi mji haujachangamka sana kwa teknolojia mpaka maeneo ya 2009 hapo akaingia zake kijiji kukwepa masoo.
Aliwapiga sana wamama na masista duh ambao wote walionesha kuwa mambo safi hapa mjini! Hizo milion 3,4,5 ilikuwa kama kusukuma ubua hakiyanani na zote ziliteketezwa kwenye bata na mapapaa wa mjini ndio walikuwa rafiki zake!
 
mnazi kipemba

mnazi kipemba

Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
48
Points
95
mnazi kipemba

mnazi kipemba

Member
Joined Apr 2, 2012
48 95
Weka picha tumfahamu na sisi...ila umeshuka mistari sana...nahisi kuna jambo,...hata hivyo nampongeza jamaa ana kipaji...
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
2,900
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
2,900 2,000
Kim aka STRAIKER full udabwidabwi, kama anapiga kumbe anafinya. Sasa sijajua alikuwa anapiga kavu au peku manake mtandao Mkubwa huo.
 
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,758
Points
2,000
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,758 2,000
Mkuu ungebadili heading. Mbona mange umemtaja sehemu ndogo sana. Nadhani kichwa cha habari kingemuhusu huyo kim na Mwele. Otherwise labda ulitaka ujumbe umfikie huyo mange na si Mwele
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,350
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,350 2,000
Hichi kitabu kinapatikana duka gani aisee!
 
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
7,124
Points
2,000
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
7,124 2,000
View attachment 373959huyu mrembo mbona habari zake huku hazikauki haipiti wiki bila habari zake kuletwa huku kweli huyu binti anawanyoosha na huyu alieleta huu mgaazeti lazima tu atakuwa ni lemutuz yeye ndio bingwa wa kushindana na mabint mitandaoni
Hata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
 
munirah

munirah

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Messages
547
Points
225
munirah

munirah

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2015
547 225
Magu ana kazi sana kuifikia Tanzania ya viwanda
 
TheNinja

TheNinja

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Messages
250
Points
250
TheNinja

TheNinja

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2016
250 250
Hata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
Ni dhahiri shahiri Huyu mleta mada ana issue binafsi na mange na ndio maana kafanya hivi
 

Forum statistics

Threads 1,283,578
Members 493,717
Posts 30,794,010
Top