Suala la mgawanyo wa Mali kama lilifanywa na Marehemu enzi za uhai wake hata mkibaki mnagombana inabidi alichokifanya enzi za uhai wake kiheshimiwe kiimani na kimila.
Godbless Lema ni kichwa kingine. Et "WAVULANA WENGI WAMEENDELEA KUSHINDWA na VILEVILE WANAUME NA WANAWAKE IMARA WANAENDELE..." Kwahyo jamaa aliyetoka ni Mvulana na SIYO mwanaume. Akili kubwa ya Lema imetumika kutukana
Wale walimtoa na jamaa aliyeko Azam akitokea Clouds kwakuwa walimjua anajua sana kuchambua Mpira kwakuwa walijua anawazimisha na wanataka wao tu wajulikane.
Utakuwa ulifika Musoma kitambo. Kwasasa barabara zinafanyiwa marekebisho makubwa sana ila kwa upande wa stand, bado ni changamoto. Kuhusu mademu, inaonekana ulienda kutafuta mademu na wadada wa Musoma siyo wa kulandalanda barabarani kama wanaojiuza kwenye miji na majiji kama Sinza Ambiasi - Dar...
Kiukweli ila kama ni hujuma kwa maneno ya huyu jamaa, akifia gerezan, damu yake ikawe juu ya wale waliomfanyia ubaya na ukatiri huu wa kumsingizia kwake NA kizazi chake chote.
Msiwe na wasiwasi waungwana na tuziamini mahakama zetu tu na zinatenda haki. Otherwise, ushahidi wa Daktari kuhusu vipimo uwa ni kama OPINION tu na Judge au Hakimu hafungwi na vipimo vya Daktari. Kinachomtia mtu hatiani ni DIRECT EVIDENCE ila wa Kitabibu is Just a mere opinion.
Bongo wangekuwa wanatoa kiatu cha dhahabu kweli tungekuwa tushasikia kuwa mchezaji alokichukua kavamiwa au ilikuwa attempted kuvamiwa. Bongo kama ni kiatu cha dhahabu, itakuwa dhahabu mdosho na ubabaishaji ni sehemu ya maisha yetu ya soka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.