Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

inaonesha ni jinsi gani tunaendeshwa na mihemuko ya kike..mengine tuwaachie wenyewe au machoko waliokamatwa peak si lazima kuigaiga.
 
Jomoniiiiii
Hicho kiungulia cha ukeni kwako kinakudanganya, Usiniandikie Upuuzi kwenye Maoni yangu.

Wengi wenu wenye akili za kushadadia mambo ya hivi huwa ni vilaza kuanzia Akilini hadi Kwenye Puru.
 
Inategemeana na unae chat nae, mi binfsi sijawai kuwachukia wanaotumia hasa girls ko na mimi nimejikuta nalitumia hasa nikichati na jinsia ya ke, ujue usinyime watu raha wanayoipenda kuna kipindi my girl alikuwaanapenda Sana kutumia emoji kuchat af mi sipend so kuepusha migogoro ya kila siku nikamwomba anifundish mana yake ili twende sawa aise baada ya hapo ikawa Fresh
 
Hicho kiungulia cha ukeni kwako kinakudanganya, Usiniandikie Upuuzi kwenye Maoni yangu.

Wengi wenu wenye akili za kushadadia mambo ya hivi huwa ni vilaza kuanzia Akilini hadi Kwenye Puru.
Mkuu nimekuquote wewe au mbiti
Kiungulia cha tundu lako la nyuma limefukuta vibaya
 
Kuna maneno n aibu kw mwanamme kuandika aiseee...
 
Ushenzi tu kama midume inayoandika et MY na maneno mengneyo yaliyokaa kike.
 
Inategemeana na unae chat nae, mi binfsi sijawai kuwachukia wanaotumia hasa girls ko na mimi nimejikuta nalitumia hasa nikichati na jinsia ya ke, ujue usinyime watu raha wanayoipenda kuna kipindi my girl alikuwaanapenda Sana kutumia emoji kuchat af mi sipend so kuepusha migogoro ya kila siku nikamwomba anifundish mana yake ili twende sawa aise baada ya hapo ikawa Fresh
Mnhh...

Pole ndugu yangu.
 
Hili neno mwenyewe sikumbuki kama nilishawahi tumia coz halijanikaa
 
Bora hata huyo anayesema jomoni, kuna dume zima huko chit chat anataka picha za wanaume mahandsome!!!
 
Ifike mahala wanaume mjitathmini.. Hasa wenye tabia ya kukopi kila neno la kijinga linalozuka kwenye mitandao.
Kuna hili neno "Jomoni"...
Nililiona mara ya kwanza huko insta ..nikajua ni ujinga wa huko tu . Wala sikutaka kujua lilipotoka..mara ya kwanza nilijua ni typing error. Ghafla likafika hapa JF baadhi ya wadada wakaanza kulitumia.

Inasikitisha sana kwakweli na ME wameanza kulitumia neno hili... Hii ni dalili ya upunga kabisa..

ACHENI HARAKA...
Ahsanteni.

Ujumbe huu uwafikie wanaume wote wa Dar na wale wa bongo fleva.
 
Back
Top Bottom