Queen Darleen buana..

Queen Darleen buana..

564ee2f8442f07701e35fec31ddd6bdf.jpg


Katika ubora wake
Toa umbea nyoko wewe,,,, mishabiki ya alikiba bhana
 
Queen Darleen kazidi kukaa uchi jamani!
Nguo zake zote ni mapaja njenje,hata katika press za maana anaenda hivyo hivyo.
Queen ni mkubwa sana,kaanza kuimba muziki wakati sisi wadogo zake tuko primary huko...ni vyema akabadilika.

Ni maoni tu maana mwisho wa siku maisha ni kuchagua,naye ndio maisha aliyojichagulia.
Period
by the way ilikuwa beach party
 
Queen darlin na kiba nani mkongwe kwenye game
Akikupa jibu sahihi nishtue,maana tokea yaanze kufuata mkumbo wa kumshabikia kiba,basi kila kitu wanadandia hata wasivovijua ili mradi na yenyewe yamekomenti.
 
Mbona kama jibibi flani hivi ukimuangalia kwa huku nyuma. Alafu hapo et yupo na kaka'ke au mdogo MTU. Fedheha hizi.
 
Back
Top Bottom