Kiatu cha mfungaji bora ligi kuu Tanzania, ni kweli ni cha dhahabu?

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,335
1,778
1468833504803.jpg
 
Bongo wangekuwa wanatoa kiatu cha dhahabu kweli tungekuwa tushasikia kuwa mchezaji alokichukua kavamiwa au ilikuwa attempted kuvamiwa. Bongo kama ni kiatu cha dhahabu, itakuwa dhahabu mdosho na ubabaishaji ni sehemu ya maisha yetu ya soka.
 
Dhahabu ya kiatu cha ulaya ni grade one yetu uku sijui km kweli ni dhahabu!
 
Hahahaaa sidhani hata kama ni almasi yote
Ni kweli nilikua nisikiliza uchambuzi wa inshu ya haki za matangazo ambayo tender amepewa azam tv nikajua kweli tff ni jipu!na huyu rais soka la bongo hatalifikisha hata sebleni
 
Cha bongo kingekua dhahabu kwanza hata hao wachezaji wasingemiliki. Maan wangekua wanayeyusha kwa sonara.....
 
Unamrushia usoni mdhamini uchafu wake huo.
Bora wakupe hela thamani ya hiko kiatu.
 
Back
Top Bottom