Nini mkuuMmmmh
Ni kweli kabisa,wapare hatuna tabia izoWapare tuondoe kwenye hiyo list hatunaga hayo mambo....!
Sawa Rutashobya, umesharudi toka America?Tatizo ni ufahamu wenu , mnaweza sema tunaringa kumbe ni mtazamo wenu tu
Bomba la kolabo dunia nzimaSiipatii picha combination ya mjita na mhaya
Ila wapare mkuu unawasingizia, mimi nina marafiki wapare wako poa sana mbonaWapare
Hupenda kujiona bora kuliko wengine.
Ni wabinafsi sana.
Wana dharau sana.
Wahaya.
Ni wabaguzi mno
Wabinafsi
Hujisikia mno
Hupenda kujisifia kuliko kawaida.
Wajita........
Almost women's ndio wenye hizo character......Ila wapare mkuu unawasingizia, mimi nina marafiki wapare wako poa sana mbona
Yerooo Rafiki nasema nini hapa?Wamasai ndio Wa kwanza kwa misifa
Wajita hatuna hizo swaggerKamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?